Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo

Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo

 

Kibarikiwe kifungo
Kitufungiacho mioyo,
Ushirika wetu wa fikira zetu
Ni kama ule wa mbingu.

Mbele ya enzi ya Baba,
Dua zetu twaziomba;
Hofu zetu na matumaini yetu,
Hayo ni mamoja kwetu.

Huzuni zetu twashika,
Na mizigo yetu pia;
Ndani yao yote twashirikiana
Hata katika kulia.

Tutawanyikapo mbali,
Hiyo yatufadhisha;
Lakini tungali pamoja rohoni
Hata tutakutanika.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 166 Tumesikia Mbiu Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 168 Mungu Alipenda Ulimwengu Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 200 BABA YETU ALIYE MBINGUNI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 44 Twae Wangu Uzima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 198 KAZA SANA MACHO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 85 Kwa Kalvari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 120 Umealikwa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 93 JUA LA ROHONI MWANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 196 VITO VYA THAMANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 91 Tumrudie Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 23 YESU FURAHA YA MOYO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 30 Yesu Awakubali Wakosa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 NAMTAKA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 146 Yesu Atwambia Maneno ya wimbo
  • Wimbo 180 PANA MAHALI PAZURI MNO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 123 YESU KWA IMANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 117 WAMWENDEA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 113 Hapana Rafiki Kama Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 31 Peleleza Ndani Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 25 Mungu ni Pendo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 192 MWAMBA WENYE IMARA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 113 Bwana Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 79 Fanyeni Kazi Zenu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 220 PAMBAZUKO NURU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 151 Zamani Watoto Waliletwa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 162 Lako Bwana, la Rehema. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 117 Ni Mji Mzuri. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 4 Jina LakeYesu Tamu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 156 Aleluya! Aleluya! Aleluya!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 34 Bwana U Sehemu Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 137 SAA HERI YA SALA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 62 Mwokozi Wetu Utuongoze Maneno ya wimbo
  • Wimbo 146 Mungu wa Betheli. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 86 Ndiyo Damu ya Baraka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 189 TUBATIZE UPYA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 10 Nina Haja Nawe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 17 SI MIMI, KRISTO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 57 Peleleza Ndani Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 97 Kaa Nami. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 67 KESHA ROHO YANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 64 PIGA PANDA YA INJILI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 34 HADITHIA KISA CHA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 150 Bwana Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 214 NIWE NAO UZURI WA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 132 BWANA NI MCHUNGA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 70 WAPENZI WA BWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 134 Njioni na Furaha Enyi wa lmani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 18 MWOKOZI, KAMA MCHUNGA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 98 Namjia Yesu Nipumzike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 137 Aligusa Upindo Wa Nguo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 83 Ee, Roho Mtakatifu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 190 RAHA YANGU YOTE, BWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 108 Bwana U Sehemu Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 66 Bwana Uliyewaita. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 204 Bwana Yangu Yu Mchungaji Maneno ya wimbo
  • Wimbo 107 NIPO BWANA, NITUME nyimbo za wokovu
  • Wimbo 65 TWENDENI ASKARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 53 NAPENDA KUHUBIRI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 111 TABIBU MKUU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 67 Yesu Atuchunga. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 9 MWUMBAJI, MFALME nyimbo za wokovu
  • Wimbo 8 Nitaimba Juu Ya Mkombozi Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version