Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo

Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo

 

Kibarikiwe kifungo
Kitufungiacho mioyo,
Ushirika wetu wa fikira zetu
Ni kama ule wa mbingu.

Mbele ya enzi ya Baba,
Dua zetu twaziomba;
Hofu zetu na matumaini yetu,
Hayo ni mamoja kwetu.

Huzuni zetu twashika,
Na mizigo yetu pia;
Ndani yao yote twashirikiana
Hata katika kulia.

Tutawanyikapo mbali,
Hiyo yatufadhisha;
Lakini tungali pamoja rohoni
Hata tutakutanika.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 166 Tumesikia Mbiu Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 168 Mungu Alipenda Ulimwengu Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 51 KUWA NA YESU MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 1 Mungu Mtukufu Aliye Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 181 Lala Rafiki lala Mpenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 192 Mwokozi Niongozwe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 40 Uzima Na Pendo Langu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 47 Akifa Yesu Nikafa Naye Maneno ya wimbo
  • Wimbo 68 Ni Mji Mzuri Maneno ya wimbo
  • Wimbo 200 Najua Jina Niliheshimulo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 14 NITEMBEE NAWE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 107 Niimbie Mara Mara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 Napenda Kuhubiri Maneno ya wimbo
  • Wimbo 101 Nilitembea Mbali Maneno ya wimbo
  • Wimbo 78 MPAKA LINI BWANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 69 Nyimbo Na Tuziimbe Tena Maneno ya wimbo
  • Wimbo 59 FANYENI KAZI ZENU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 130 YESU KWETU NI RAFIKI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 93 JUA LA ROHONI MWANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 115 Sioshwi Dhambi Zangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 HUNA KITU KWA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 66 Bwana Uliyewaita. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 213 Nipe Pendo Sana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 36 SIKU KUU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 159 Kichwa Kilivikwa Miiba Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 97 Kaa Nami. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 100 Mungu Awe Nanyi Daima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 78 Aniongozapo Pote Maneno ya wimbo
  • Wimbo 118 Aliteswa, Aliteswa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 35 Waitwa, Mwovu, na Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 10 KRISTO WA NEEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 155 Usiku Mkuu! Maneno ya wimbo
  • Wimbo 115 NAENDEA MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 8 UJE MKOMBOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 204 YA SABA NI KWA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 205 KUWA NA YESU NYUMBANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 119 Muda Mwingi Nilipotea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 Nafurahi Moyoni Mwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 128 TAAMINI NITII PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 120 Karibu na Wewe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 117 Ungeishi Kwa Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 28 Mungu Msaada Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 14 Kumtegemea Mwokozi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 47 Nitwae Hivi Nilivyo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 95 ZILETENI ZAKA KWA HAZINA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 141 CHINI YA MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 64 Mteteeni Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 25 Yesu Uniongoze Maneno ya wimbo
  • Wimbo 79 Ni “Mtu wa Simanzi!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 183 Sasa Amewasili. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 128 Yesu Mponya. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 Nina Haja Nawe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 218 OMBA SANA ASUBUHI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 189 Kutakuwa Mwanga Maneno ya wimbo
  • Wimbo 72 JENGA JUU YA MWAMBA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 77 Namwandama Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 104 Ni Mwokozi Aliyenifia Maneno ya wimbo
  • Wimbo 45 Ni Wako Wewe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 47 NI HERI KIFUNGO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 176 Sauti lliyonena. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 37 PENDO LAKO, EE MWOKOZI nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version