Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 22 Nina Haja Nawe Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 22 Nina Haja Nawe Maneno ya wimbo

Wimbo 22 Nina Haja Nawe Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 22 Nina Haja Nawe Maneno ya wimbo

 

Nina haja nawe
Kila saa;
Hawezi mwingine
Kunifaa.

Yesu nakuhitaji
Vivyo kila saa!
Niwezeshe mwokozi,
nakujia.

Nina haja nawe;
Kaa nami,
Na maonjo haya,
Hayaumi.

Nina haja nawe,
Kila hali,
Maisha ni bure,
Uli mbali.

Nina haja nawe;
Nifundishe,
Na ahadi zako Zifikishe.

Nina haja nawe;
Mweza yote,
Ni wako kabisa
Siku zote.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 21 Ni Wako Wewe, Nimekujua Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 23 Yesu Unihifadhi Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 147 UISHI NDANI YANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 128 Yesu Mponya. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 76 Nionapo Amani Kama Shwari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 201 Kwa Mji Wa Mwangaza Maneno ya wimbo
  • Wimbo 204 Bwana Yangu Yu Mchungaji Maneno ya wimbo
  • Wimbo 171 Sijui Ilipotoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 77 HABARI ZA USIKU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 133 PO POTE NA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 153 Furaha Kwa Ulimwengu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 128 TAAMINI NITII PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 139 Yesu Akuitapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 168 Mungu Alipenda Ulimwengu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 19 Kaa Nami Maneno ya wimbo
  • Wimbo 185 Ati Twonane Mtoni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 62 Ujaribiwapo Sifanye Dhambi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 45 Uje Unisaidie Maneno ya wimbo
  • Wimbo 60 Nina Raha Kwa Mwamba Wa Imara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 209 Nafikiri Juu Ya Kalvari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 219 YESU MWOKOZI MPENDWA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 97 Kaa Nami. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 55 TWAPANDA MAPEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 21 Ni Wako Wewe, Nimekujua Maneno ya wimbo
  • Wimbo 175 Kwa kuwa hutaogopa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 135 Ni Usiku wa Manane,Wachunga Wakesha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 115 NAENDEA MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 158 Baba U Mwenye Mapenzi Makuu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 Kijito Cha Utakaso Maneno ya wimbo
  • Wimbo 215 Bwana Mungu Nashangaa Kabisa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 201 HUNIPENDA PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 25 Mungu ni Pendo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 69 Nyimbo Na Tuziimbe Tena Maneno ya wimbo
  • Wimbo 3 Uniumegee Mkate Hai Maneno ya wimbo
  • Wimbo 88 Walikaa Orofani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 16 BWANA NINAKUHITAJI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo
  • Wimbo 3 Jina la Yesu, Salamu!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 73 Ushirika Mkuu, Furaha Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 113 Bwana Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 URAFIKI WA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 106 HUNA KITU KWA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 79 NATAKA IMANI HII nyimbo za wokovu
  • Wimbo 14 NITEMBEE NAWE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 148 Yesu Ataka Kianga Maneno ya wimbo
  • Wimbo 80 TUPE MOTO WA UHAI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 64 PIGA PANDA YA INJILI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 183 Sasa Amewasili. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 185 Ewe Mchunga Mpole. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 26 Yesu Kwa Imani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 71 Ni Tamu Kumjua Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 109 ANISIKIAYE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 70 Mteteeni Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 149 KUWA WAKE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 137 Aligusa Upindo Wa Nguo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 35 Yesu Kwetu Ni Rafiki Maneno ya wimbo
  • Wimbo 212 Yesu Aliteswa Vibaya Maneno ya wimbo
  • Wimbo 96 Kazi Yangu lkiisha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 79 Ni “Mtu wa Simanzi!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 131 Ilitoka Nuru Kuu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 92 Tazameni Huyo Ndiye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 42 Niwonapo Mti Bora Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version