Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo

Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo

 

Usinipite, Mwokozi,
Unisikie;
Unapozuru wengine,
Usinipite.

Yesu, Yesu,
Unisikie;
Unapozuru wengine,
Usinipite.

Kiti chako cha rehema,
Nakitazama;
Magoti napiga pale,
Nisamehewe.

Sina ya kutegemea,
Ila wewe tu;
Uso wako uwe kwangu;
Nakuabudu.

U Mfariji peke yako;
Sina Mbinguni,
Wala duniani pote,
Bwana mwingine.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 135 Nitwae Hivyo Nilivyo Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 137 Aligusa Upindo Wa Nguo Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 119 Mmoja Apita Wote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 82 Mungu Alituma Kwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 23 YESU FURAHA YA MOYO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 2 Liko Lango Moja Wazi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 25 Yesu Uniongoze Maneno ya wimbo
  • Wimbo 168 Twataka Mwona Bwana Jesus. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Mungu Twatoa Shukurani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 17 Ndiyo Dhamana,Yesu Wangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 177 Mwokozi Umeokoa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 136 NIWE KAMA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 111 TABIBU MKUU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 154 Twimbe Wake na Waume. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 217 MOYONI ‘NIJAZE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 19 Kaa Nami Maneno ya wimbo
  • Wimbo 77 HABARI ZA USIKU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 164 Mungu wangu, Meza Yako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 171 Sijui Ilipotoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 30 Mwamba Wenye Imara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 16 AkifaYesu Nikafa Naye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 118 Bwana Yesu Atakuja. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 27 Baba Yetu aliye Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 121 Niongoze, Bwana Mungu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 5 Kwa Yote Aliyotenda Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 Tawaona tena hao Wapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 59 Nizidi Yesu Kumjua Maneno ya wimbo
  • Wimbo 79 NATAKA IMANI HII nyimbo za wokovu
  • Wimbo 148 Yesu Ataka Kianga Maneno ya wimbo
  • Wimbo 58 Yesu, Msalaba Wangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 83 EWE SKULI YA SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 91 Mkuu Akamjia Yesu Usiku Maneno ya wimbo
  • Wimbo 76 WamwendeaYesu kwa Kusafiwa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 185 Ati Twonane Mtoni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 124 Uje Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 60 Nina Raha Kwa Mwamba Wa Imara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 32 Njoni! Wenye Dhambi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 NAAMINI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 82 Damu lmebubujika. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 Napenda Kuhubiri Maneno ya wimbo
  • Wimbo 25 Mungu ni Pendo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 57 Nimeifikia Nchi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 77 Namwandama Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 Twae Wangu Uzima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 88 SIKU HII YA SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye Maneno ya wimbo
  • Wimbo 84 IKUMBUKE SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 95 Kristo Mkombozi Alikufa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 37 Mwenye Dhambi Huna Raha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 154 YANIPASA KUWA NAYE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 90 Hivi Vita Vimekoma. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 86 UKARIBIE TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 200 Najua Jina Niliheshimulo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 177 KAZI YANGU IKISHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 163 Waponyeni Watu Wamo Kifoni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 138 Mtazame Huyo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 183 Kwa Damu Ya Yesu Naokoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Twende Kwake. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 NAPENDA KUHUBIRI nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version