Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo

Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo

 

Wakristo walio na furaha
Leo raukeni na mapema
Yesu Mwokozi wa ulimwengu
Amezaliwa, Mwana wa Mungu
Siri za mapenzi zieneze
Watu wote n wayatukuze

Ni malaika aliyenena
Aliyeleta habari kwanza
Kwao wachunga waliolinda
Kuonyesha Mungu awapenda
Huyu malaika akasema
“Nawaletea habari njema

“Leo, Mungu amelitimiza
Agano lake, hakubakiza
Mwokozi wenu amezaliwa
Yeyule aliyeahidiwa
Habari njema kwa watu wote
Taifa za duniani zote

Mara hiyo malaika wengi
Wako, pamoja, sauti nyingi
Waziimba sifa za Mapenzi
Ni Mapenzi yenye Ukombozi
“Enzi ni yake Mungu wetu juu
Kwa atu nao ihisani kuu.”

Wachunga wakaenda haraka
Alivyoyanena malaika
Waione ajabu ya Mungu
Aliyotenda kwa walimwengu
Wakamwona Mwana kihorini
Na Mama, na jusufu, bandani

Sisi na tutafakari sana
Mapenzi ya ajabu, hapana
Kama haya ya Mungu, tunzeni
Maisha ya Mwana duniani
Kuzawa, hata kaburi yake
Na sisi twandame nyayo zake

Kisha, na sisi twatumaini
Tuwe mumo jeshini, mbinguni
Tuliookoka kwa mapenzi
Tumwone huko katika enzi
Tukiona utukufu wake
Na milele twimbe sifa zake

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 142 Wachunga Walipolinda. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 144 Mwokozi Wangu Mpendwa Nataka. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 128 TAAMINI NITII PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 175 Kwa kuwa hutaogopa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 101 Ewe, Baba wa Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 78 MPAKA LINI BWANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 95 Twonane Milele. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 171 Sijui Ilipotoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 67 Tafuta Daima Utakatifu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 191 MKATE WA MBINGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 19 MSALABANI PA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 30 Mwamba Wenye Imara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 208 NANI AFANYA MAUA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 123 Sauti Sikilizeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 154 Njooni Na Furaha Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 NAAMINI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 16 Tunakusifu, Ewe Mungu Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 93 Ndiyo Damu Ya Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 82 Damu lmebubujika. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 215 Bwana Mungu Nashangaa Kabisa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 105 Siku Ya Mbingu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 65 TWENDENI ASKARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 6 Ni Tabibu wa Karibu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 96 MALI YAKO SASA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 71 KESHENI KAOMBENI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 106 Nimekombolewa Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 130 Hapo Kale, Kama Wakati Huu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 61 Twendeni Askari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 125 Twende Kwake Maneno ya wimbo
  • Wimbo 112 WEWE UMECHOKA SANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 182 Kijito Cha Utakaso Maneno ya wimbo
  • Wimbo 176 Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 163 Waponyeni Watu Wamo Kifoni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo
  • Wimbo 41 Yesu Nakupenda Maneno ya wimbo
  • Wimbo 74 Msalabani pa Mwokozi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 165 Njoni Karamuni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 68 TUSIMAME IMARA MWAMBANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 141 CHINI YA MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 14 NITEMBEE NAWE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 73 Ushirika Mkuu, Furaha Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 78 Aniongozapo Pote Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 Nafurahi Moyoni Mwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 29 YESU UNIPENDAYE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 94 Maelfu na Maelfu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 84 Nimejazwa Na Furaha Maneno ya wimbo
  • Wimbo 19 Kaa Nami Maneno ya wimbo
  • Wimbo 9 MWUMBAJI, MFALME nyimbo za wokovu
  • Wimbo 144 Baragumu Yake Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 15 Kutakuwa Na Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 167 Sasa Baba, tena twakumbuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 52 NIPE BIBLIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 190 Siku Nilipokuwa Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 51 Nakusifu Bwana Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 208 Kwake Yesu, Nakaa Salamani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 172 MFALME AJAPO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 42 Niwonapo Mti Bora Maneno ya wimbo
  • Wimbo 107 Niimbie Mara Mara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 161 Jesu furaha ya Myoyo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 135 Nitwae Hivyo Nilivyo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 93 Huyo Ndiye! Anashuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 26 TUTOKAPO TUBARIKI nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version