Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 107 NIPO BWANA, NITUME nyimbo za wokovu

  1. Home   »  
  2. Wimbo 107 NIPO BWANA, NITUME nyimbo za wokovu

Wimbo 107 NIPO BWANA, NITUME nyimbo za wokovu

Disemba 12, 2025 treasurehymnsNyimbo Za Kristo - Swahili SDA Hymns

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 107 NIPO BWANA, NITUME nyimbo za wokovu

 

1
Sauti ni yake Bwana,
Kwenda, nani tayari?
Mavuno yanakawia,
Nani atayavuna?
Kwa kudumu anaita
Zawadi atatoa;
Nani atakaye jibu
Nipo Bwana nitume

2
Kama huwezi safari
Hata nchi za mbali,
Pana watu karibuni
Wasiomjua Yesu;
Kama huwezi kusema
Jinsi ya malaika,
Waweza kuutangaza
Upendo wa mwokozi.

3
Ingawa huwezi kuwa
Mkesha mlangoni,
Ukiwatolea watu
Nafasi ya uzima ;
Kwa sala na kwa sadaka
Watoa msaada
Kama Harun mwaminifu
Kuinua mikono

4
Roho za watu zikifa
Bwana akikuita ,
Usiseme kwa uvivu,
Hakuna kazi kwangu.
Kwa furaha anza kazi
Ile aliokupa,
Ukajibu mara moja
Nipo Bwana, nitume.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 106 HUNA KITU KWA YESU? nyimbo za wokovu
Next: Wimbo 108 TUMESIKIA MBIU nyimbo za wokovu

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 159 Kichwa Kilivikwa Miiba Maneno ya wimbo
  • Wimbo 47 NI HERI KIFUNGO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 204 Bwana Yangu Yu Mchungaji Maneno ya wimbo
  • Wimbo 52 Nina Furaha Kazini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 17 Ndiyo Dhamana,Yesu Wangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 34 Bwana U Sehemu Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 102 Twenenda Sayuni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 82 Mungu Alituma Kwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 212 Yesu Aliteswa Vibaya Maneno ya wimbo
  • Wimbo 67 KESHA ROHO YANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 29 Kwa Mfano Wako Maneno ya wimbo
  • Wimbo 220 PAMBAZUKO NURU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 165 AHADI TAMU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 90 MAPYA NI MAPENZI HAYO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 68 Twendeni Askari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 79 NATAKA IMANI HII nyimbo za wokovu
  • Wimbo 140 Siku Hizi Ni Za Mwisho Maneno ya wimbo
  • Wimbo 129 Tukutendereza Yesu- (Luganda. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 105 Neno Lako, Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 103 Ni Siku Kuu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 55 TWAPANDA MAPEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 198 Mungu Baba Yangu, U Mwaminifu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 16 AkifaYesu Nikafa Naye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 168 Mungu Alipenda Ulimwengu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 91 Tumrudie Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 MUNGU MSAADA WETU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 97 Umesoma Hadithi ya Yesu? Maneno ya wimbo
  • Wimbo 184 PANAPO PENDO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 176 Sauti lliyonena. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 77 Namwandama Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 210 NAPENDA SANA KUFIKA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 188 WIMBI LITAKASALO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 97 SIOSHWI DHAMBI ZANGU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 1 MTAKATIFU, MTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 73 Twendeni! Haraka!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 144 Mwokozi Wangu Mpendwa Nataka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 138 NITAKUANDAMA KOTE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 72 Sioni Haya kwa Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 146 Yesu Atwambia Maneno ya wimbo
  • Wimbo 217 MOYONI ‘NIJAZE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 180 Karibu Nawe, Ee Mwokozi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 26 TUTOKAPO TUBARIKI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 132 BWANA NI MCHUNGA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 134 Njioni na Furaha Enyi wa lmani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 59 Nizidi Yesu Kumjua Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 Bwana Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 186 HATUTAAGANA TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 113 Bwana Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 207 Unifundishe, Wewe Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 173 HATUJUI SAA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 158 Mle Kaburini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 27 Baba Yetu aliye Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 83 EWE SKULI YA SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 203 Nikilemewa Na Mizigo Mingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 130 YESU KWETU NI RAFIKI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 201 Kwa Mji Wa Mwangaza Maneno ya wimbo
  • Wimbo 118 Aliteswa, Aliteswa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 46 MIGUUNI PAKE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 84 IKUMBUKE SABATO nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version