Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
Wimbo 41 ROHO MTAKATIFU nyimbo za wokovu
1
Roho Mtakatifu,
Kiongozi amini;
Utushike mkono
Tulio wasafiri;
Utupe kusikia
Sauti ya upole:
Msafiri fuata.
Naongoza nyumbani
2
Wewe ndiwe rafiki,
Msaada karibu;
Tusiache shakani;
Na tukiwa gizani
3
Siku zetu za kazi,
Zikiwa zimekwisha,
Wala hatuna tamaa
Ila mbingu na sala: