Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo

Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo

 

Rehema ya Baba yetu,
Yang`aza nchi yake;
Lakini ametuweka
Tuwe walizi wake.

Taa zenu na ziwake,
Nuru zenu tumeni;
Msafiri asizame,
Mwokoeni majini.

Giza ya dhambi twaona,
Mawimbi twasikia;
Wengine wanatafuta
Nuru za kutulia.

Taa zitengenezeni,
Mwokoeni msafiri;
Aangukaye majini,
Na asife gizani.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 43 Rafiki Wa Yesu Ndimi Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 45 Uje Unisaidie Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 90 Hivi Vita Vimekoma. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 Ni Mali Ya Mfalme Maneno ya wimbo
  • Wimbo 68 TUSIMAME IMARA MWAMBANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 186 HATUTAAGANA TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 207 Unifundishe, Wewe Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 39 ATI, KUNA MVUA NJEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 161 PIGA PANDA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 124 UMECHOKA UMESUMBUKA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 127 NI SALAMA ROHONI MWANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 39 Yesu aIiniita,“Njoo”. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 76 WamwendeaYesu kwa Kusafiwa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 42 Kukawa na Giza Dunia Yote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 153 Siku ya Leo, Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 208 NANI AFANYA MAUA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 169 Sistahili mezani kuwako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 17 Nilipoona Chemchemi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 214 Katika Neema Ya Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 25 Yesu Uniongoze Maneno ya wimbo
  • Wimbo 149 KUWA WAKE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 121 Usikawie Kumwamini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 93 Ndiyo Damu Ya Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 43 Rafiki Wa Yesu Ndimi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 Tawaona tena hao Wapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 86 Eneza Habari Humu Duniani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 11 JINA LA BWANA LI HERI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 6 Baba, Mwana, Roho Maneno ya wimbo
  • Wimbo 111 Damu Imebubujika Maneno ya wimbo
  • Wimbo 136 Enzi lliyo juu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 98 Namjia Yesu Nipumzike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 52 Yesu Nataka Kutakaswa Sana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 77 HABARI ZA USIKU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 5 Baba, Mwana, Roho. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 159 Kichwa Kilivikwa Miiba Maneno ya wimbo
  • Wimbo 215 Bwana Mungu Nashangaa Kabisa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 85 Na Pentekoste Ya Kale Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 Twae Wangu Uzima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 78 MPAKA LINI BWANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 45 Uje Unisaidie Maneno ya wimbo
  • Wimbo 60 NITAKWENDA UTAKAPONITUMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 15 Kutakuwa Na Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 Mwokozi Moyoni Mwangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 154 Njooni Na Furaha Maneno ya wimbo
  • Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 187 Yuko Mwokozi Wa Ajabu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 Mteteeni Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 147 UISHI NDANI YANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 29 Msingi imara. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 45 Ni Wako Wewe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 NAPENDA KUHUBIRI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 168 Twataka Mwona Bwana Jesus. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 99 TWENDE KWA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 70 Nafurahi Moyoni Mwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 159 ANAKUJA UPESI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 119 ALILIPA BEI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 18 Ninaye Rafiki Naye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 86 UKARIBIE TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 51 Wewe Umechoka Sana?. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 4 Jina LakeYesu Tamu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 88 SIKU HII YA SABATO nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version