Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 132 Kuna Mtu Angojaye Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 132 Kuna Mtu Angojaye Maneno ya wimbo

Wimbo 132 Kuna Mtu Angojaye Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 132 Kuna Mtu Angojaye Maneno ya wimbo

 

Kuna mtu angojaye,
Ataka radhi leo?
Apate habari njema,
Yesu apita leo.

Yesu apita leo,
Leo, leo,
Yesu apita leo,
Apita hapa, leo.

Kuna mtu atangaye?
Aje na mzigo leo,
Rehema inamwalika,
Yesu apita leo.

Kuna mtu achokaye,
Ataka kupumzika?
Aje mkononi mwa Yesu,
Humo apate raha.

Umjie Mkombozi wako
Kwa pendo lake Mungu;
Upite katika mlango
Uelekeao mbingu.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 131 Ukipenda Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 133 Nimetembelea Mbali Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 204 Bwana Yangu Yu Mchungaji Maneno ya wimbo
  • Wimbo 104 Mapya ni Mapenzi Hayo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 98 Twasoma ni Njema Sana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 174 Namhitaji Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 34 HADITHIA KISA CHA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 37 Mwenye Dhambi Huna Raha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 NAMTAKA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 39 Nilikupa Wewe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 43 FURAHA GANI! nyimbo za wokovu
  • Wimbo 103 NJONI KWANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 175 USO KWA USO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 158 U MWENDO GANI NYUMBANI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 106 Nimekombolewa Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 215 Bwana Mungu Nashangaa Kabisa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 60 Nina Raha Kwa Mwamba Wa Imara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 Kijito Cha Utakaso Maneno ya wimbo
  • Wimbo 190 Siku Nilipokuwa Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 77 HABARI ZA USIKU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 32 Useme Nami Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 94 Kristo Ametukomboa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 89 Siku ya Mbingu Kujawa na Sifa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 71 Ni Tamu Kumjua Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 Nina Haja Nawe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 164 Mungu wangu, Meza Yako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 38 NASIFU SHANI YA MUNGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo
  • Wimbo 162 TUMAINI LIKO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 56 WAPONYENI WATU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 97 Kaa Nami. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 88 Walikaa Orofani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 136 Enzi lliyo juu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 63 NIUONAPO MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 156 Aleluya! Aleluya! Aleluya!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 NAAMINI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 148 Yesu Ataka Kianga Maneno ya wimbo
  • Wimbo 78 MPAKA LINI BWANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 63 Piga Kelele Maneno ya wimbo
  • Wimbo 147 Na Myaka Michache. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 159 ANAKUJA UPESI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 212 Yesu Aliteswa Vibaya Maneno ya wimbo
  • Wimbo 139 ULINIIMBIE TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 76 Nionapo Amani Kama Shwari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 78 Aniongozapo Pote Maneno ya wimbo
  • Wimbo 146 Mungu wa Betheli. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 169 TUTASHINDAJE HUKUMUNI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 80 TUPE MOTO WA UHAI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 82 Mungu Alituma Kwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 92 MAGHARIBI JUA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 42 Kukawa na Giza Dunia Yote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 186 Imbeni Juu Ya Pendo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 36 Mwokozi Alinifia Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Liko Lango Moja Wazi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 139 Yesu Akuitapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 174 TUKIMNGOJEA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 153 FIKIRA MOJA TU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 62 Ujaribiwapo Sifanye Dhambi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 178 Baba Yangu Ana Mali Nyingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 148 Siku Zetu Hwenda Mbio. Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version