Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo

Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo

 

Rehema ya Baba yetu,
Yang`aza nchi yake;
Lakini ametuweka
Tuwe walizi wake.

Taa zenu na ziwake,
Nuru zenu tumeni;
Msafiri asizame,
Mwokoeni majini.

Giza ya dhambi twaona,
Mawimbi twasikia;
Wengine wanatafuta
Nuru za kutulia.

Taa zitengenezeni,
Mwokoeni msafiri;
Aangukaye majini,
Na asife gizani.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 43 Rafiki Wa Yesu Ndimi Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 45 Uje Unisaidie Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 148 Siku Zetu Hwenda Mbio. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 68 Twendeni Askari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 181 TUTAKAA MAHALI PA MAJI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 220 PAMBAZUKO NURU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 3 Jina la Yesu, Salamu!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 131 BABA ANILINDA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 103 Nitaimba ya Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 157 Bwana Amefufuka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 153 Siku ya Leo, Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 139 Na Twimbe Leo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 63 Safari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 84 Aliteswa, Aliteswa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 77 Namwandama Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 74 Tangu Siku Hiyo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 109 Tufani lnapovuma. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 193 Katika Yesu Sina Shaka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 211 ROHO WA MUNGU WANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 141 Waimba, Sikizeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 93 Ndiyo Damu Ya Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 89 Siku ya Mbingu Kujawa na Sifa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 198 KAZA SANA MACHO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 42 Kukawa na Giza Dunia Yote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 147 Anipenda Kweli Maneno ya wimbo
  • Wimbo 126 Twende Kwa Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 211 Katika Gethsemane Yesu Aliteswa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 HUNA KITU KWA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 58 Waponyeni Watu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 80 TUPE MOTO WA UHAI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 41 Yesu Nakupenda Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 Twae Wangu Uzima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 136 NIWE KAMA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 106 Kilima Kando ya Mji. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 55 Naendea Msalaba. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 148 UNIVUTE KARIBU BABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 82 Damu lmebubujika. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 139 ULINIIMBIE TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 73 BWANA, UNIONGOZE JUU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 34 HADITHIA KISA CHA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 52 Yesu Nataka Kutakaswa Sana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Mungu Twatoa Shukurani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 82 Mungu Alituma Kwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 214 Katika Neema Ya Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 133 Walioambiwa Kwanza. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 Ni Mali Ya Mfalme Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 NAMTAKA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 218 OMBA SANA ASUBUHI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 193 SAUTI YAKE MCHUNGAJI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 108 Yesu Awakubali Wakosa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 61 Ndugu wa Kirohoni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 105 MCHUNGAJI MPENZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 108 Bwana U Sehemu Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 176 Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 163 ANAKUJA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 149 KUWA WAKE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 179 Vile Ninavyo Nimevipata Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 Nina Haja Nawe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 115 Sioshwi Dhambi Zangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Mwamba Wenye lmara. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 29 Kwa Mfano Wako Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version