Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 195 Mnona Humkubali Mwokozi Sasa Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 195 Mnona Humkubali Mwokozi Sasa Maneno ya wimbo

Wimbo 195 Mnona Humkubali Mwokozi Sasa Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 195 Mnona Humkubali Mwokozi Sasa Maneno ya wimbo

 

Mbona humkubali Mwokozi sasa?
Kwa upole akusihi;
Umjie Yesu, anakungojea,
Kusamehe Yu tayari.

Mbona humkubali?
Mbona? Mbona?
Usimkatae anakusihi,
Umkubali sasa.

Roho hatakusihi siku zote,
Umkubali Yesu sasa;
Labda kesho hutapata nafasi,
Usichelewe kabisa.

Twae Kristo awe Mwokozi wako,
Utakuwa na salama;
Mambo ya kesho yajapokujia,
Hutaogopa mashaka.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 194 Yesu Bwana Wangu Ananipenda Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 196 Kumjia Yesu Mwokozi Wangu Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 71 Sioshwi Dhambi Zangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 NINAKUPENDA ZAIDI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 82 Damu lmebubujika. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 202 SIKIA MLIO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 59 Nizidi Yesu Kumjua Maneno ya wimbo
  • Wimbo 68 Twendeni Askari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 65 TWENDENI ASKARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 64 Po Pote Mashamba Yajaa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 219 YESU MWOKOZI MPENDWA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 151 Leo Yesu Kristo Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 134 Yesu Akwita Chanena Chuo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 205 KUWA NA YESU NYUMBANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 32 KARIBU SANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 89 ASUBUHI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 76 Nionapo Amani Kama Shwari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 102 Neema Ya Mpendwa Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 45 Uje Unisaidie Maneno ya wimbo
  • Wimbo 19 Roho Yangu Hima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 113 Hapana Rafiki Kama Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo
  • Wimbo 149 KUWA WAKE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 46 Naweka Dhambi Zangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 126 NINA HAJA NAWE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 55 Naendea Msalaba. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 197 Mungu Aliahidi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 105 MCHUNGAJI MPENZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 74 Msalabani pa Mwokozi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 173 Nimehitaji Mwokozi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 92 Ndiyo Dhamana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 30 NIIMBE PENDO LAKE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 74 NIAMBIE, EE MLINZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 184 Twaagana na Wapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 119 Mmoja Apita Wote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 213 MTAZAME MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 35 NIMEKOMBOLEWA NA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 66 Bwana Uliyewaita. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 85 SALAMA TUMEPITA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 22 Nina Haja Nawe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Nilikuwa Kondoo Aliyepotea. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 180 Karibu Nawe, Ee Mwokozi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 177 KAZI YANGU IKISHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 68 Ni Mji Mzuri Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 WAPENZI WA BWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 79 Fanyeni Kazi Zenu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 38 Nasikia Kuitwa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 155 Usiku Mkuu! Maneno ya wimbo
  • Wimbo 99 Kuwatafuta. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 25 Mungu ni Pendo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 29 Msingi imara. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 49 Nitaonana Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 132 BWANA NI MCHUNGA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 157 MFALME YU MLANGONI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 172 Sijui Sababu Ya Neema Maneno ya wimbo
  • Wimbo 177 Mwokozi Wangu Alinifia Maneno ya wimbo
  • Wimbo 16 AkifaYesu Nikafa Naye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 Napenda Kuhubiri Maneno ya wimbo
  • Wimbo 39 Nilikupa Wewe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 140 When you came down to want me. Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version