Nyimbo za wokovu
Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo
Atakuja, Atakuja,
Vito vikusanywe
Vito vyake vya thamani,
Wapenzi wake.
Kama nyota za mbinguni,
Watang`ara kwa Mungu;
Wapenzi ni watoto
Kwa taji yake.
Atachanga, Atachanga,
Vito kwa ufalme;
Vito vyote vya thamani,
Wapenzi wake.
Ni watoto, ni watoto,
Waitwao vito;
Ni vito vya Yesu Kristo,
Wapenzi wake.