Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu Nyimbo za wokovu Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo Mwenye Enzi, msifuni, Viumbe vyote vya chini; Msifuni mlio juu, Baba, Mwana, Roho Mungu.