Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo treasurehymns miezi 6 ago Nyimbo za wokovu Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo Mwenye Enzi, msifuni, Viumbe vyote vya chini; Msifuni mlio juu, Baba, Mwana, Roho Mungu.