Skip to content

Mon - Sat: 8.00 - 18.00

04463235323

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo

Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo

 

Wakristo walio na furaha
Leo raukeni na mapema
Yesu Mwokozi wa ulimwengu
Amezaliwa, Mwana wa Mungu
Siri za mapenzi zieneze
Watu wote n wayatukuze

Ni malaika aliyenena
Aliyeleta habari kwanza
Kwao wachunga waliolinda
Kuonyesha Mungu awapenda
Huyu malaika akasema
“Nawaletea habari njema

“Leo, Mungu amelitimiza
Agano lake, hakubakiza
Mwokozi wenu amezaliwa
Yeyule aliyeahidiwa
Habari njema kwa watu wote
Taifa za duniani zote

Mara hiyo malaika wengi
Wako, pamoja, sauti nyingi
Waziimba sifa za Mapenzi
Ni Mapenzi yenye Ukombozi
“Enzi ni yake Mungu wetu juu
Kwa atu nao ihisani kuu.”

Wachunga wakaenda haraka
Alivyoyanena malaika
Waione ajabu ya Mungu
Aliyotenda kwa walimwengu
Wakamwona Mwana kihorini
Na Mama, na jusufu, bandani

Sisi na tutafakari sana
Mapenzi ya ajabu, hapana
Kama haya ya Mungu, tunzeni
Maisha ya Mwana duniani
Kuzawa, hata kaburi yake
Na sisi twandame nyayo zake

Kisha, na sisi twatumaini
Tuwe mumo jeshini, mbinguni
Tuliookoka kwa mapenzi
Tumwone huko katika enzi
Tukiona utukufu wake
Na milele twimbe sifa zake

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 134 Njioni na Furaha Enyi wa lmani. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 152 Mle Kaburini, Yesu Mwokozi. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 3 Jina la Yesu, Salamu!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 Mteteeni Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Niwonapo Mti Bora. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 80 Kwa Wingi wa Nyama. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 214 NIWE NAO UZURI WA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 46 MIGUUNI PAKE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 95 Twonane Milele. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Jina Lake Yesu Tamu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 75 Msalaba wa Aibu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 101 YESU AKWITA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 53 Napenda Kuhubiri Maneno ya wimbo
  • Wimbo 168 Mungu Alipenda Ulimwengu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 MUNGU MSAADA WETU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 21 Ni Salama Rohoni Mwangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 180 Karibu Nawe, Ee Mwokozi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 34 Anisikiaye aliye Yote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 108 Yesu Awakubali Wakosa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 161 Jesu furaha ya Myoyo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 23 YESU FURAHA YA MOYO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 85 Kwa Kalvari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 49 Nitaonana Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 1 Twamsifu Mungu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 25 Mungu ni Pendo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 46 Naweka Dhambi Zangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 16 AkifaYesu Nikafa Naye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 154 Twimbe Wake na Waume. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 62 NAPENDA KITABU CHAKE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 4 JINA LA YESU SALAMU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 125 UNIANGALIE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 60 NITAKWENDA UTAKAPONITUMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 94 PO POTE MASHAMBA YAJAA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 190 Siku Nilipokuwa Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 Mwokozi Moyoni Mwangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 176 Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 137 Aligusa Upindo Wa Nguo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 37 Mwenye Dhambi Huna Raha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 Bwana Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 154 Njooni Na Furaha Maneno ya wimbo
  • Wimbo 162 Katika Nchi Nyingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 38 Mapenzi Yako Yafanyike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 179 Vile Ninavyo Nimevipata Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 URAFIKI WA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 147 UISHI NDANI YANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 Mikononi Mwako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 HAPANA GIZA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 139 Yesu Akuitapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 Twae Wangu Uzima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 97 SIOSHWI DHAMBI ZANGU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 105 MCHUNGAJI MPENZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 63 NIUONAPO MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 212 MOYONI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 62 Mwokozi Wetu Utuongoze Maneno ya wimbo
  • Wimbo 71 Sioshwi Dhambi Zangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 63 Piga Kelele Maneno ya wimbo
  • Wimbo 47 NI HERI KIFUNGO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 111 Ni Ujumbe wa Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 90 MAPYA NI MAPENZI HAYO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 38 NASIFU SHANI YA MUNGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 118 Bwana Yesu Atakuja. Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version