Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 2 Niwonapo Mti Bora. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 2 Niwonapo Mti Bora. Maneno ya wimbo

Wimbo 2 Niwonapo Mti Bora. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 2 Niwonapo Mti Bora. Maneno ya wimbo

 

Niwonapo Mti bora
Kristo aliponi?a
Kwangu pato ni hasara
Kiburi nakichukia

Na nisijivune, Bwana
Ha kwa mauti yako
Upuzi sitaki tena
Ni chini ya damu yako

Tangu kichwa hata nyayo
Zamwegwa pendo na hamu
Ndako pweke hamu hiyo
Pendo zake zimetimu

Vitu vyote vya dunia
Si sadaka ya kutoshsa
Pendo zake zaniwia
Nafsi, mali, na maisha

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 77 Chini ya Msalaba. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 79 Ni “Mtu wa Simanzi!. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 51 Nakusifu Bwana Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 162 Lako Bwana, la Rehema. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 32 Useme Nami Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 158 Baba U Mwenye Mapenzi Makuu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 105 MCHUNGAJI MPENZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 176 Sauti lliyonena. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 6 Baba, Mwana, Roho Maneno ya wimbo
  • Wimbo 94 PO POTE MASHAMBA YAJAA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 105 Neno Lako, Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 196 VITO VYA THAMANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 50 Huniongoza Mwokozi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 60 Nina Raha Kwa Mwamba Wa Imara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 103 NJONI KWANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 20 MUNGU WETU YEYE MWAMBA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 12 MSIFU MUNGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 49 Nitaonana Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 172 Baba tunakwomba sasa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 130 Kwa Mizigo Yako Ukichoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 35 NIMEKOMBOLEWA NA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 38 Mapenzi Yako Yafanyike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 4 Msalabani Pa Mwokozi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 57 Peleleza Ndani Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 140 HIVI NILIVYO UNITWAE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 139 ULINIIMBIE TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 179 Vile Ninavyo Nimevipata Maneno ya wimbo
  • Wimbo 123 Dhambi Ikikulemea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 34 Bwana U Sehemu Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 166 FURAHA KWA ULIMWENGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 97 Umesoma Hadithi ya Yesu? Maneno ya wimbo
  • Wimbo 211 Katika Gethsemane Yesu Aliteswa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 63 Piga Kelele Maneno ya wimbo
  • Wimbo 163 Ni Mfalme wa Mapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 74 NIAMBIE, EE MLINZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 138 NITAKUANDAMA KOTE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 124 UMECHOKA UMESUMBUKA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 55 Naendea Msalaba. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 NINAKUPENDA ZAIDI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 133 Nimetembelea Mbali Maneno ya wimbo
  • Wimbo 23 Nimekombolewa na Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 117 WAMWENDEA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 61 Twendeni Askari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 166 Tumesikia Mbiu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 141 Yesu Yuaja Na Utukufu Wake Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Jina La Yesu, Salamu! Maneno ya wimbo
  • Wimbo 174 Ewe jehova,Watwona. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 65 TWENDENI ASKARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 66 Bwana Uliyewaita. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 10 KRISTO WA NEEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 215 NATAKA NIWE TAYARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 35 Waitwa, Mwovu, na Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 156 Aleluya! Aleluya! Aleluya!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 112 Enyi Wanadamu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 130 Hapo Kale, Kama Wakati Huu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 51 KUWA NA YESU MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 38 Nasikia Kuitwa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 112 Yesu Ni Jina Nipendalo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 81 Wautafuta Ujazo Wa Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 116 Uwe Huru Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Hata Ndimi Elfu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 49 NINAYE RAFIKI nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version