Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 10 Nina Haja Nawe. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 10 Nina Haja Nawe. Maneno ya wimbo

Wimbo 10 Nina Haja Nawe. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 10 Nina Haja Nawe. Maneno ya wimbo

 

Nina haja nawe
Kila saa;
Hawezi mwingine
Kunifaa.

Chorus
Yesu, nakuhitaji
Vivyo kila saa!
Niwezeshe, Mwokozi
Nakujia.

Nina haja nawe;
Kaa nami,
Na maonjo haya,
Hayaumi.

Nina haja nawe;
Kila hali,
Maisha ni bure’
Uli mbali.

Nina haja nawe,
Nifundishe
Na ahadi zako
Zifikishe.

Nina haja nawé
Mweza yote,
Ni wako kabisa
Siku zote.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 1 Twamsifu Mungu. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 100 Mungu Awe Nanyi Daima. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 35 Waitwa, Mwovu, na Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 173 HATUJUI SAA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 23 Nimekombolewa na Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 164 Mungu wangu, Meza Yako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 116 Ati Twonane Mtoni?. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 128 TAAMINI NITII PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 112 Enyi Wanadamu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 91 KAA NAMI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye Maneno ya wimbo
  • Wimbo 213 MTAZAME MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 9 Yesu Mfalme Mwokozi Wangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 129 Nasikia Kwitwa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 107 Niimbie Mara Mara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 95 Twonane Milele. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 173 Mbele yako Mtukufu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 34 HADITHIA KISA CHA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 184 Twaagana na Wapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 154 Twimbe Wake na Waume. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 Enyi Askari wa Kristo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 Nimekombolewa Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 83 EWE SKULI YA SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 117 WAMWENDEA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 128 Mwokozi Ananiita Maneno ya wimbo
  • Wimbo 101 Ewe, Baba wa Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 58 Yesu, Msalaba Wangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 74 Tangu Siku Hiyo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 109 Tufani lnapovuma. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 26 TUTOKAPO TUBARIKI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 37 Mwenye Dhambi Huna Raha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 Bwana Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 21 BABA TWAKUJIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 217 MOYONI ‘NIJAZE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 169 TUTASHINDAJE HUKUMUNI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo
  • Wimbo 132 BWANA NI MCHUNGA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 133 Walioambiwa Kwanza. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 31 TANGU KUAMINI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 27 Karibu Na Wewe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 186 HATUTAAGANA TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 174 Ewe jehova,Watwona. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Nilikuwa Kondoo Aliyepotea. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 146 Yesu Atwambia Maneno ya wimbo
  • Wimbo 64 Mteteeni Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 107 NilikupaWewe Maisha Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 193 Katika Yesu Sina Shaka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 146 Mungu wa Betheli. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 147 Anipenda Kweli Maneno ya wimbo
  • Wimbo 41 Yesu Akwita. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 164 Panda Asubuhi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 NAPENDA KUHUBIRI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 145 Baba Yetu Aliye Mbinguni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 139 Yesu Akuitapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 173 Nimehitaji Mwokozi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 176 Sauti lliyonena. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 12 Yesu kwa lmani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 122 Piga Sana Vita Vyema. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 58 ZITAKUWA NYOTA TAJINI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 145 Mikononi Mwako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 91 Mkuu Akamjia Yesu Usiku Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version