Skip to content

Mon - Sat: 8.00 - 18.00

04463235323

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 93 Ndiyo Damu Ya Baraka Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 93 Ndiyo Damu Ya Baraka Maneno ya wimbo

Wimbo 93 Ndiyo Damu Ya Baraka Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 93 Ndiyo Damu Ya Baraka Maneno ya wimbo

 

Ndiyo damu ya baraka ituoshayo wakosa
Kwake Bwana twaokoka, nasi twamsifu sasa,
Nimestahili hukumu, siwezi kujitakasa;
Nioshe katika damu, takuwa safi kabisa.

Safi kabisa; safi kabisa!
Nioshe katika damu;
Takuwa safi kabisa.

Yesu alivikwa miiba, na kuangikwa Mtini,
Na maumivu si haba yaliyompata chini.
Nataka kijito hicho niende kuoga sasa;
Ndicho kinitakasacho, nami ni safi kabisa.

Safi kabisa; Safi kabisa!
Ndicho kinitakasacho,
Nami ni safi kabisa.

Baba, kweli nimekosa, moyo wangu ni dhaifu;
Dhambi ni nyingi kabisa, nipate wapi wokovu?
Yesu kijitoni pako naja naamini sasa
Nioshe kwa damu yako, takuwa safi kabisa.

Safi kabisa; safi kabisa!
Nioshe kwa damu yako,
Takuwa safi kabisa.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 80 Ujaribiwapo, Usifanye Dhambi Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 101 Nilitembea Mbali Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 181 Lala Rafiki lala Mpenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 193 Katika Yesu Sina Shaka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 151 Zamani Watoto Waliletwa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 23 Yesu Unihifadhi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 200 Najua Jina Niliheshimulo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 96 Wamwendea Yesu? Maneno ya wimbo
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 86 Eneza Habari Humu Duniani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 124 Uje Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 147 Na Myaka Michache. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 74 Msalabani pa Mwokozi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 NAPENDA KUHUBIRI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 2 Twende Kwake. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 116 Uwe Huru Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 19 MSALABANI PA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 91 Mkuu Akamjia Yesu Usiku Maneno ya wimbo
  • Wimbo 158 Baba U Mwenye Mapenzi Makuu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 11 Ewe Roho wa Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 100 Mungu Awe Nanyi Daima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 33 ANASA ZOTE NA KIBURI; nyimbo za wokovu
  • Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 USINIPITE MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 168 Twataka Mwona Bwana Jesus. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 117 WAMWENDEA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 16 AkifaYesu Nikafa Naye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 61 Ndugu wa Kirohoni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 Napenda Kuhubiri Maneno ya wimbo
  • Wimbo 17 Nilipoona Chemchemi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 96 MALI YAKO SASA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 204 YA SABA NI KWA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 117 Ungeishi Kwa Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 88 Nataka Nimjue Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 103 Nitaimba ya Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 214 Katika Neema Ya Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 Bwana Jesu,Twaungama. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 87 Mapenzi Yako Yafanyike Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 105 MCHUNGAJI MPENZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 182 Tawaona tena hao Wapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 153 Furaha Kwa Ulimwengu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 Enyi Askari wa Kristo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 60 NITAKWENDA UTAKAPONITUMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 114 YESU NATAKA KUTAKASWA SANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 185 MUNGU, MAPENZI MAKAMILIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 40 NIJAZE SASA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 89 Siku ya Mbingu Kujawa na Sifa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 73 BWANA, UNIONGOZE JUU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 214 NIWE NAO UZURI WA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 128 Yesu Mponya. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 NAMTAKA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 130 Hapo Kale, Kama Wakati Huu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 63 Safari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 131 Ukipenda Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 111 Damu Imebubujika Maneno ya wimbo
  • Wimbo 120 Karibu na Wewe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 132 Leo Mwana Amezaliwa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 146 TWAE WANGU UZIMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 25 Mungu ni Pendo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 126 Twende Kwa Yesu Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version