Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 58 Yesu, Msalaba Wangu Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 58 Yesu, Msalaba Wangu Maneno ya wimbo

Wimbo 58 Yesu, Msalaba Wangu Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 58 Yesu, Msalaba Wangu Maneno ya wimbo

 

Yesu, msalaba wangu
Sasa nimejitweka,
Nikwandame Bwana wangu,
Wengine kuepuka.
Sina tamaa ya mali,
Mali ya ulimwengu;
Mimi ni tajiri kweli,
Ni mrithi wa Mungu.

Wajaponisumbuaje,
Nitakukimbilia;
Mashaka yote na yaje,
Nitayavumilia.
Taabu hazinidhuru,
Nina mapenzi yako;
Na kwa haya nashukuru,
Napata yote kwako.

Moyo, pokea wokovu,
Kila siku wokoke;
Ushinde dhambi na hofu;
Subiri, utumike;
Roho yuko ndani yako,
Una pendo za Baba,
Mwokozi naye ni wako;
Mwenye hivyo, si haba.

Hima nawe kaza mwend:
Ujivike imani;
Hujafika mbingu bado,
Kwa Mungu tumaini:
Mwisho wa safari yako
Wasongea upesi;
Utakapofika huko,
Ni furaha halisi.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 57 Nimeifikia Nchi Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 59 Nizidi Yesu Kumjua Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 196 VITO VYA THAMANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 97 Umesoma Hadithi ya Yesu? Maneno ya wimbo
  • Wimbo 67 Yesu Atuchunga. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 110 Ni Tabibu Wa Karibu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 64 Po Pote Mashamba Yajaa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 199 UPENDO NI FURAHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye Maneno ya wimbo
  • Wimbo 148 UNIVUTE KARIBU BABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 64 Mteteeni Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 30 NIIMBE PENDO LAKE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 9 Yesu Mfalme Mwokozi Wangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 174 Ewe jehova,Watwona. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 85 Kwa Kalvari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 Wakati Wa Baraka Karibu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 137 Aligusa Upindo Wa Nguo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 Kilima Kando ya Mji. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 118 Aliteswa, Aliteswa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Liko Lango Moja Wazi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 166 Tumesikia Mbiu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 215 Bwana Mungu Nashangaa Kabisa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 113 Hapana Rafiki Kama Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 138 Sasa naTuimbe Wimbo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 11 Ewe Roho wa Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 133 Walioambiwa Kwanza. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 111 Ni Ujumbe wa Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 61 Twendeni Askari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 73 BWANA, UNIONGOZE JUU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 55 Sioni Haya Kwa Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 10 Yesu, Nikikumbuka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo
  • Wimbo 131 BABA ANILINDA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 170 Bwana Jesu,Twaungama. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 71 KESHENI KAOMBENI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 164 MISHALE YA NURU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 103 NJONI KWANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 177 KAZI YANGU IKISHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 96 Kazi Yangu lkiisha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 58 Yesu, Msalaba Wangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 23 Yesu Unihifadhi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 27 Baba Yetu aliye Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 107 NilikupaWewe Maisha Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 1 MTAKATIFU, MTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 204 YA SABA NI KWA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 45 MWANGA UMO MOYONI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 78 MPAKA LINI BWANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 207 Unifundishe, Wewe Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 194 Yesu Bwana Wangu Ananipenda Maneno ya wimbo
  • Wimbo 142 NASIKIA SAUTI YAKO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 206 MSIFU MUNGU EE WATOTO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 91 Mkuu Akamjia Yesu Usiku Maneno ya wimbo
  • Wimbo 186 Imbeni Juu Ya Pendo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 51 Nakusifu Bwana Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 174 Namhitaji Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 126 Mapenzi ya Milele. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 58 ZITAKUWA NYOTA TAJINI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 37 Yote Namtolea Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 180 PANA MAHALI PAZURI MNO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 149 Aleluya Tufurahi, Myoyo yetu lkuzwe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 179 WATAFURAHI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 5 NA TUMWABUDU nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version