Skip to content

Mon - Sat: 8.00 - 18.00

04463235323

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo

Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo

 

Waimba, sikizeni,
Malaika mbinguni;
Wimbo wa tamu sana
Wa pendo zake Bwana:
Duniani salama,

Kwa wakosa rehema;

Sisi sote na twimbe

Nao wale wajumbe;

Waimba, sikizeni,

Malaika mbinguni.

Ndiye Bwana wa mbingu,

Tangu milele Mungu,

Amezaliwa mwili,

Mwana wa mwanamwali;

Ametoka enzini

Kuja ulimwenguni

Mwokozi atufie,

Ili tusipotee,

Waimba, sikizeni,

Malaika mbinguni.

Seyidi wa amani

Ametoka mbinguni,

Jula la haki, ndiye

Atumulikiaye;

Amejivua enzi,

Alivyo na mapenzi,

Ataka kutuponya,

Kutuzalisha upya,

Waimba, sikizeni,

Malaika mbinguni.

Njoo upesi, Bwana,

Twakutamani sana;

Kaa nasi, Mwokozi,

Vita hatuviwezi;

Vunja kichwa cha nyoka,

Sura zako andika,

Tufanane na Wewe,

Kwetu sifa upewe,

Waimba, sikizeni,

Malaika mbinguni.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 120 MSALABA WA YESU nyimbo za wokovu
Next: Wimbo 161 Jua Kila Lingarapo Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 26 TUTOKAPO TUBARIKI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 160 Hapa Nakwona Mwokozi Wangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 126 NINA HAJA NAWE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo
  • Wimbo 33 ANASA ZOTE NA KIBURI; nyimbo za wokovu
  • Wimbo 199 Mungu Wangu,Ndiye Na Mwamini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Mungu Twatoa Shukurani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 85 Kwa Kalvari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 93 Huyo Ndiye! Anashuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 196 VITO VYA THAMANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 112 Enyi Wanadamu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 102 Twenenda Sayuni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 158 Mle Kaburini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 179 Kulala katika Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 169 TUTASHINDAJE HUKUMUNI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 65 TWENDENI ASKARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 212 MOYONI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 143 Wakati Wa Baraka Karibu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 64 Po Pote Mashamba Yajaa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 91 Tumrudie Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 153 Furaha Kwa Ulimwengu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 146 Yesu Atwambia Maneno ya wimbo
  • Wimbo 179 Vile Ninavyo Nimevipata Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 41 ROHO MTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 125 Twende Kwake Maneno ya wimbo
  • Wimbo 130 Kwa Mizigo Yako Ukichoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 24 JINA LAKE YESU TAMU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 61 Twendeni Askari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 100 Deni Yangu Ya Dhambi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 130 Hapo Kale, Kama Wakati Huu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 50 MUNGU NAWE NANYI DAIMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 139 ULINIIMBIE TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 3 Jina la Yesu, Salamu!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 164 Mungu wangu, Meza Yako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 114 Chini Ya Mizigo Ya Dhambi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 11 Ewe Roho wa Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 1 MTAKATIFU, MTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 29 Kwa Mfano Wako Maneno ya wimbo
  • Wimbo 107 NIPO BWANA, NITUME nyimbo za wokovu
  • Wimbo 40 Uzima Na Pendo Langu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 103 Nitaimba ya Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 54 NATAKA NIMJUE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 125 Juu Yake Langu Shaka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 30 Yesu Awakubali Wakosa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 140 Siku Hizi Ni Za Mwisho Maneno ya wimbo
  • Wimbo 144 NI WAKO BWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 138 Sasa naTuimbe Wimbo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 27 TENA, MWOKOZI, TWALITUKUZA JINA LAKO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 134 TAFUTA DAIMA UTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 164 MISHALE YA NURU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 154 Njooni Na Furaha Maneno ya wimbo
  • Wimbo 122 Piga Sana Vita Vyema. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 92 Ndiyo Dhamana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 32 Useme Nami Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 201 HUNIPENDA PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 160 Sauti Ya Mchunga Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 55 TWAPANDA MAPEMA nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version