Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 120 Umealikwa Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 120 Umealikwa Maneno ya wimbo

Wimbo 120 Umealikwa Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 120 Umealikwa Maneno ya wimbo

 

Umealikwa, uje sasa,
Karamu imeandikwa;
Uje sasa uliyechoka,
Na utabarikiwa.

Itika mwaliko,
Kwa awaye yote;
Mungu na asifiwe,
Kwa wokovu wake.

Umealikwa, uje sasa,
Uje utakaribishwa;
Na utaheshimiwa sana,
Utaketi na Bwana.

Umealikwa, uje sasa
Uje anakungojea;
Usikawie, uje leo,
Labda utachelewa.

Umealikwa uje sasa,
Acha masumbuko yote;
Uje ule pendo la Mungu
Tapata utulivu.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 119 Muda Mwingi Nilipotea Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 81 SIKU SITA ZIMEPITA nyimbo za wokovu

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 114 YESU NATAKA KUTAKASWA SANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 88 SIKU HII YA SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 41 Yesu Akwita. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Liko Lango Moja Wazi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 51 Wewe Umechoka Sana?. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 184 PANAPO PENDO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 38 Mapenzi Yako Yafanyike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 169 Sistahili mezani kuwako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo
  • Wimbo 178 Baba Yangu Ana Mali Nyingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 214 Katika Neema Ya Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 157 Bwana jesu Ndiye Atwitaye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 115 NAENDEA MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 81 Wautafuta Ujazo Wa Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 31. 31. Dhambi lkikulemea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 103 NJONI KWANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 115 Mungu Ulisema. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 114 Nimeketi Mimi Nili Kipofu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 67 Yesu Atuchunga. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 Enyi Askari wa Kristo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 188 Nifanye Nini Niokolewe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 158 Mle Kaburini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 62 Mwokozi Wetu Utuongoze Maneno ya wimbo
  • Wimbo 146 Mungu wa Betheli. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 17 Nilipoona Chemchemi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 58 Yesu, Msalaba Wangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 133 PO POTE NA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 74 Tangu Siku Hiyo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 23 YESU FURAHA YA MOYO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 110 MLANGO WAZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo
  • Wimbo 147 UISHI NDANI YANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 144 Baragumu Yake Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 151 HUNIONGOZA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 125 Twende Kwake Maneno ya wimbo
  • Wimbo 171 Ewe Baba kubali kuwabarikia Hawa Watoto wako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 113 Hapana Rafiki Kama Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 133 Walioambiwa Kwanza. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 51 KUWA NA YESU MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 95 Twonane Milele. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 54 Nilitembea Gizani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 3 Uniumegee Mkate Hai Maneno ya wimbo
  • Wimbo 28 Mungu Msaada Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 116 Ati Twonane Mtoni?. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 58 Waponyeni Watu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 130 Kwa Mizigo Yako Ukichoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 121 Usikawie Kumwamini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 215 NATAKA NIWE TAYARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 21 Ni Salama Rohoni Mwangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 Bwana Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 61 Ndugu wa Kirohoni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 186 Imbeni Juu Ya Pendo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 171 Sijui Ilipotoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 116 MOYO SAFI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 186 HATUTAAGANA TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 47 NI HERI KIFUNGO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 163 Ni Mfalme wa Mapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 162 TUMAINI LIKO nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version