Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 34 Anisikiaye aliye Yote. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 34 Anisikiaye aliye Yote. Maneno ya wimbo

Wimbo 34 Anisikiaye aliye Yote. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 34 Anisikiaye aliye Yote. Maneno ya wimbo

 

Anisikiaye, aliye yote
Sasa iitangae, wajue wote
Duniani kote neno wapate
Atakaye na aje!

Chorus
Ni “Atokaye,” ni “Atakaye,”
Pwani hata bara, na litangae
Ni Baba Mpenzi alinganaye
Atakaye na aje.

Anijiliaye,Yesu asema
Asikawe, aje hima mapema
Ndimi Njia, Kweli, ndimi Uzima
Atakaye na ale!

Atakaye aje, ndiyo ahadi
Atakaye hiyo, haitarudi!
Atakaye lake, ni la abahi!
Atakaye na aje

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 2 Twende Kwake. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 35 Waitwa, Mwovu, na Bwana. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 50 MUNGU NAWE NANYI DAIMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 169 TUTASHINDAJE HUKUMUNI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 123 Sauti Sikilizeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 64 Mteteeni Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 33 Wakati Wangu Kuomba Maneno ya wimbo
  • Wimbo 1 MTAKATIFU, MTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 13 YESU UJE KWETU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 74 NIAMBIE, EE MLINZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 145 NAMTAKA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 205 KUWA NA YESU NYUMBANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 13 Na Tumwabudu Huyo Mfalme Maneno ya wimbo
  • Wimbo 82 Damu lmebubujika. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 88 Walikaa Orofani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 20 Niongoze, Bwana Mungu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 109 Tufani lnapovuma. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 117 Ungeishi Kwa Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 3 Uniumegee Mkate Hai Maneno ya wimbo
  • Wimbo 174 Namhitaji Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 180 Ametwaliwa Rafiki Yetu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 159 Kichwa Kilivikwa Miiba Maneno ya wimbo
  • Wimbo 131 Ilitoka Nuru Kuu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 162 Lako Bwana, la Rehema. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 Bwana Jesu,Twaungama. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 47 Akifa Yesu Nikafa Naye Maneno ya wimbo
  • Wimbo 149 KUWA WAKE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 76 Nionapo Amani Kama Shwari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 3 Jina la Yesu, Salamu!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 135 Ni Usiku wa Manane,Wachunga Wakesha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 37 Yote Namtolea Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 36 Twende kwa Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 131 Ukipenda Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 186 Imbeni Juu Ya Pendo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 65 Nadumu Kwa Ahadi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 162 Katika Nchi Nyingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 43 Rafiki Wa Yesu Ndimi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 177 KAZI YANGU IKISHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 201 Kwa Mji Wa Mwangaza Maneno ya wimbo
  • Wimbo 35 NIMEKOMBOLEWA NA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 115 Sioshwi Dhambi Zangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 110 MLANGO WAZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 56 WAPONYENI WATU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 171 Sijui Ilipotoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 126 Twende Kwa Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 90 MAPYA NI MAPENZI HAYO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 21 BABA TWAKUJIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 16 BWANA NINAKUHITAJI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 2 Hata Ndimi Elfu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 141 CHINI YA MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 29 Msingi imara. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 94 Maelfu na Maelfu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 147 Na Myaka Michache. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 105 MCHUNGAJI MPENZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 143 Wakristo walio na Furaha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 167 Sasa Baba, tena twakumbuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 26 Yesu Kwa Imani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Jina Lake Yesu Tamu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 161 Jesu furaha ya Myoyo. Maneno ya wimbo
  • Hello world!
  • Wimbo 33 ANASA ZOTE NA KIBURI; nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version