Nyimbo Za Sifa
Wimbo 25 Mungu ni Pendo. Maneno ya wimbo
Mungu ni pendo, apenda watu
Mungu ni pendo, anipenda
Chorus
Sikilizeni furaha yangu
Mungu ni pendo, anipenda
Nalipotea katika dhambi
Nikawa mtumwa wa shetani
AkajaYesu kunikomboa
Yeye kanipa kuwa huru
Sababu hii namtumikia
Namsifu Yeye siku zote.