Nyimbo Za Sifa
Wimbo 12 Yesu kwa lmani. Maneno ya wimbo
Yesu kwa imani
Nakutumaini
Peke yako
Nisikie sasa
Na kunitakasa
Ni wako kabisa
Tangu leo.
Nipe nguvu pia
Za kusaidia
Moyo wangi
UlikufaWewe
Wokovu nipewe
Nakupenda Wewe
Bwana wangu
Hapa nazunguka
Katika mashaka
Na matata
Palipo na giza
Utaniongoza
Hivi nitaweza
Kufuata
Takuwa mzima
Nivushe salama
Mautini
Sina hofu kamwe
Ukiwapo nami
Nami nikwandame
Siku zote.