Wimbo 211 ROHO WA MUNGU WANGU nyimbo za wokovu Disemba 12, 2025 treasurehymnsNyimbo Za Kristo - Swahili SDA Hymns Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Wimbo 211 ROHO WA MUNGU WANGU nyimbo za wokovu Roho wa Mungu wangu, Nakuhitaji! Roho wa Mungu wangu, Nakuhitaji! Uniunde, na unijaze: Roho wa Mungu wangu, Nakuhitaji!