Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
Wimbo 183 YESU ANAPORUDI nyimbo za wokovu
1
Furaha na raha tutapata,
Furaha na raha tutapata,
Furaha na raha tutapata
Yesu anaporudi.
Yesu anaporudi (rudi)
Yesu anaporudi (rudi)
Furaha na raha tutapata
Yesu anaporudi.
2
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu,
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu,
Tutaimba nyimbo za shangwe kuu
Yesu anaporudi.
3
Hapana machozi arudipo,
Hapana machozi arudipo,
Hapana machozi arudipo,
Kwa wateule wake.