Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 197 Mungu Aliahidi Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 197 Mungu Aliahidi Maneno ya wimbo

Wimbo 197 Mungu Aliahidi Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 197 Mungu Aliahidi Maneno ya wimbo

 

Mungu aliahidi,
Na kwa fadhili yake;
Tutapata pumziko,
Katika mkono wake.

Tukiona mashaka mengi,
Tulia, amri yake,
Roho yangu ina amani,
Katika mkono wake

Ijapo hufahamu,
Na usifadhaike;
Hutasumbuka tena,
Katika mkono wake.

Na ukishughulika,
Kwa mambo siku zote;
Roho itapumzika,
Katika mkono wake.

Furaha ya ajabu,
Tena amani yake;
Zimewekwa tayari
Katika mkono wake.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 196 Kumjia Yesu Mwokozi Wangu Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 198 Mungu Baba Yangu, U Mwaminifu Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 48 Enyi Askari wa Kristo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 101 Ewe, Baba wa Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 31 Peleleza Ndani Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Twende Kwake. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 119 ALILIPA BEI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 77 Chini ya Msalaba. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 155 Yu Hai jesu! Sasa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 122 Piga Sana Vita Vyema. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 210 NAPENDA SANA KUFIKA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 26 TUTOKAPO TUBARIKI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 116 Uwe Huru Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 Bwana Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 166 Nina Njaa Sana, Kiu Hunikaza. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 99 Nalimjia Yesu na Huzuni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 127 Pendo Lako Limesulubiwa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 JINA LANGU LIMEANDIKWA JE? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 123 YESU KWA IMANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 30 Yesu Awakubali Wakosa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 131 BABA ANILINDA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 181 Fedha Wala Dharau Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 Mikononi Mwako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 Tawaona tena hao Wapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 118 Aliteswa, Aliteswa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Jina Lake Yesu Tamu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 99 TWENDE KWA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 156 UNIONGOZE, YEHOVA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 13 YESU UJE KWETU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 134 Yesu Akwita Chanena Chuo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 62 Ujaribiwapo Sifanye Dhambi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 212 Yesu Aliteswa Vibaya Maneno ya wimbo
  • Wimbo 142 Sitaona Giza Yesu Ajapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 195 MSINGI WA KANISA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 53 Nipe Moyo Wenye Sifa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 107 NIPO BWANA, NITUME nyimbo za wokovu
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 65 Mungu Msaada Wetu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 113 Hapana Rafiki Kama Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Mungu Twatoa Shukurani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 55 Naendea Msalaba. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo
  • Wimbo 21 Ni Wako Wewe, Nimekujua Maneno ya wimbo
  • Wimbo 171 HUKUMU IMEANZISHWA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 204 YA SABA NI KWA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 91 Tumrudie Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 189 TUBATIZE UPYA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 34 Anisikiaye aliye Yote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 9 Usinipite!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 4 JINA LA YESU SALAMU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 58 Waponyeni Watu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 108 TUMESIKIA MBIU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 158 U MWENDO GANI NYUMBANI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 10 KRISTO WA NEEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 119 Mmoja Apita Wote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 29 Msingi imara. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 178 Mungu U mapenzi Makamilifu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 59 Tumesikia Mbiu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 27 Karibu Na Wewe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 177 Mwokozi Umeokoa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 76 WamwendeaYesu kwa Kusafiwa. Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version