Skip to content

Mon - Sat: 8.00 - 18.00

04463235323

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo

Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 150 Atakuja,Atakuja Maneno ya wimbo

 

Atakuja, Atakuja,
Vito vikusanywe
Vito vyake vya thamani,
Wapenzi wake.

Kama nyota za mbinguni,
Watang`ara kwa Mungu;
Wapenzi ni watoto
Kwa taji yake.

Atachanga, Atachanga,
Vito kwa ufalme;
Vito vyote vya thamani,
Wapenzi wake.

Ni watoto, ni watoto,
Waitwao vito;
Ni vito vya Yesu Kristo,
Wapenzi wake.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 120 MSALABA WA YESU nyimbo za wokovu
Next: Wimbo 161 Jua Kila Lingarapo Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 60 NITAKWENDA UTAKAPONITUMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 15 Kutakuwa Na Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 11 Aitwa Wa Simanzi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 101 Ewe, Baba wa Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 15 Namwandama Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 13 YESU UJE KWETU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 5 NA TUMWABUDU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 161 PIGA PANDA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 160 Hapa Nakwona Mwokozi Wangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 175 USO KWA USO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 184 Nichunguze Mungu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 20 MUNGU WETU YEYE MWAMBA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 99 Kuwatafuta. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 18 Ukirushwa-rushwa Na Dunia Hii Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 Bwana Jesu,Twaungama. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 55 TWAPANDA MAPEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 206 MSIFU MUNGU EE WATOTO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 154 Njooni Na Furaha Maneno ya wimbo
  • Wimbo 140 When you came down to want me. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 137 Aligusa Upindo Wa Nguo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 43 FURAHA GANI! nyimbo za wokovu
  • Wimbo 163 ANAKUJA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 31 Peleleza Ndani Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 29 Msingi imara. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 17 SI MIMI, KRISTO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 39 Yesu aIiniita,“Njoo”. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 122 Piga Sana Vita Vyema. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 89 Ewe Kristo, Mwenye Utakaso Maneno ya wimbo
  • Wimbo 52 Yesu Nataka Kutakaswa Sana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 199 UPENDO NI FURAHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 123 Dhambi Ikikulemea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 HUNA KITU KWA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 94 PO POTE MASHAMBA YAJAA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 207 MWOKOZI WANGU ANIPENDA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 189 TUBATIZE UPYA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 1 MTAKATIFU, MTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 193 SAUTI YAKE MCHUNGAJI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 67 Yesu Atuchunga. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 205 Rafiki Zangu Wanatafuta Maneno ya wimbo
  • Wimbo 100 Deni Yangu Ya Dhambi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 183 Sasa Amewasili. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 124 Ni Wako Mungu!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 100 Mungu Awe Nanyi Daima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 84 Aliteswa, Aliteswa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 181 Fedha Wala Dharau Maneno ya wimbo
  • Wimbo 160 Sauti Ya Mchunga Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 134 TAFUTA DAIMA UTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 45 Uje Unisaidie Maneno ya wimbo
  • Wimbo 110 Ni Tabibu Wa Karibu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 98 Namjia Yesu Nipumzike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 NAPENDA KUHUBIRI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 118 NILIPOTOKA KABISA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 157 Bwana Amefufuka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 148 UNIVUTE KARIBU BABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 107 Niimbie Mara Mara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 144 Mwokozi Wangu Mpendwa Nataka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 127 Msifuni, Yesu Ndiye Mkombozi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 36 Mwokozi Alinifia Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version