Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 13 Na Tumwabudu Huyo Mfalme Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 13 Na Tumwabudu Huyo Mfalme Maneno ya wimbo

Wimbo 13 Na Tumwabudu Huyo Mfalme Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 13 Na Tumwabudu Huyo Mfalme Maneno ya wimbo

 

Na tumwabudu huyo Mfalme,
Sifa za nguvu zake zivume;
Ni ngao, ni ngome, Yeye milele,
Ndizo sifa zake kale na kale.

Hubirini ya uweza wake,
Mkaimbie neema yake;
Gri yake ndiyo mawingu, nayo
Ni nuru mavao ayavaayo.

Tazameni ulimwengu huu,
ulivyoumbwa, ajabu kuu,
Sasa umewekwa mahali pake,
Hata utimize majira yake.

Kwa ulinzi wako, kwetu Bwana,
Twakushukuru, U mwema sana;
Hupewa chakula kila kiumbe,
Kila kitu kina mahali pake.

Wanadamu tu wanyonge sana,
Twakutumaini Wewe, Bwana;
Kamwe haipungui wako wema,
Mkombozi wetu, Rafiki mwema.

Uweza wako haupimiki;
Mapenzi yako hayasemeki;
Na ulivyoumba vyote kabisa
Vidogo, Vikubwa, vyakutukuza.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 12 Mwenye Enzi, Msifuni Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 14 Msifuni, Yesu Ndiye Mkombozi Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 163 ANAKUJA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 51 Wewe Umechoka Sana?. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 89 ASUBUHI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 142 Wachunga Walipolinda. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 27 Karibu Na Wewe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 151 Leo Yesu Kristo Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 38 Mapenzi Yako Yafanyike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 186 HATUTAAGANA TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 185 Ati Twonane Mtoni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 5 Baba, Mwana, Roho. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 149 Aleluya Tufurahi, Myoyo yetu lkuzwe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 116 Uwe Huru Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 URAFIKI WA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 115 NAENDEA MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 202 SIKIA MLIO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 117 WAMWENDEA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 91 KAA NAMI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 86 UKARIBIE TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 54 NATAKA NIMJUE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 23 YESU FURAHA YA MOYO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 52 NIPE BIBLIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 201 Kwa Mji Wa Mwangaza Maneno ya wimbo
  • Wimbo 190 RAHA YANGU YOTE, BWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 168 TARUMBETA YA MWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 163 Waponyeni Watu Wamo Kifoni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 184 PANAPO PENDO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 6 Baba, Mwana, Roho Maneno ya wimbo
  • Wimbo 60 Nina Raha Kwa Mwamba Wa Imara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo
  • Wimbo 193 Katika Yesu Sina Shaka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 NAMTAKA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 93 Huyo Ndiye! Anashuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 76 MRITHI UFALME nyimbo za wokovu
  • Wimbo 148 UNIVUTE KARIBU BABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 80 Ujaribiwapo, Usifanye Dhambi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 214 Katika Neema Ya Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 219 YESU MWOKOZI MPENDWA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 78 MPAKA LINI BWANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 128 TAAMINI NITII PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 208 NANI AFANYA MAUA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 110 Ni Tabibu Wa Karibu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 86 Ndiyo Damu ya Baraka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 160 Hapa Nakwona Mwokozi Wangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 9 MWUMBAJI, MFALME nyimbo za wokovu
  • Wimbo 133 Nimetembelea Mbali Maneno ya wimbo
  • Wimbo 34 HADITHIA KISA CHA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 59 FANYENI KAZI ZENU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 140 HIVI NILIVYO UNITWAE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 88 Nataka Nimjue Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 13 Na Tumwabudu Huyo Mfalme Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 Baba Yetu Aliye Mbinguni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 Tawaona tena hao Wapenzi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 165 Njoni Karamuni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 178 Baba Yangu Ana Mali Nyingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 139 Yesu Akuitapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 76 WamwendeaYesu kwa Kusafiwa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 39 ATI, KUNA MVUA NJEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 25 Yesu Uniongoze Maneno ya wimbo
  • Wimbo 28 Mungu Msaada Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 137 Aligusa Upindo Wa Nguo Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version