Skip to content

Mon - Sat: 8.00 - 18.00

04463235323

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 126 Twende Kwa Yesu Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 126 Twende Kwa Yesu Maneno ya wimbo

Wimbo 126 Twende Kwa Yesu Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za wokovu

Nyimbo za wokovu

Wimbo 126 Twende Kwa Yesu Maneno ya wimbo

 

Twende kwa Yesu mimi nawe,
Njia atwonya tuijue
Imo chuoni; na Mwenyewe,
Hapa asema Njoo!

Na furaha tutaiona,
Mioyo ikitakata sana,
Kwako Mwokozi, kuonana,
Na milele kukaa.

Wana na waje atwambia,
Furahini mkisikia;
Ndiye mfalme wetu pia,
Na tumtii, Njoo.

Wangojeani? Leo yupo:
Sikiza sana asemapo;
Huruma zake zikwitapo,
Ewe kijana, Njoo.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 120 Umealikwa Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 101 YESU AKWITA nyimbo za wokovu

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 46 Mpendao Bwana Maneno ya wimbo
  • Hello world!
  • Wimbo 103 Nitaimba ya Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 69 CHA KUTUMAINI SINA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 95 Kristo Mkombozi Alikufa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 87 Mapenzi Yako Yafanyike Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 167 Kibarikiwa Kifungo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 110 Ni Tabibu Wa Karibu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo
  • Wimbo 139 Na Twimbe Leo. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 51 Nakusifu Bwana Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 183 YESU ANAPORUDI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 134 Njioni na Furaha Enyi wa lmani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 199 UPENDO NI FURAHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 139 Yesu Akuitapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 215 NATAKA NIWE TAYARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 191 MKATE WA MBINGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 77 Chini ya Msalaba. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 172 Baba tunakwomba sasa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 201 HUNIPENDA PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 174 Namhitaji Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 43 FURAHA GANI! nyimbo za wokovu
  • Wimbo 10 Yesu, Nikikumbuka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 92 Ndiyo Dhamana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 4 JINA LA YESU SALAMU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 48 NINAKUPENDA ZAIDI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 177 Mwokozi Umeokoa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 120 MSALABA WA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 81 SIKU SITA ZIMEPITA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 33 ANASA ZOTE NA KIBURI; nyimbo za wokovu
  • Wimbo 162 Katika Nchi Nyingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 102 Twenenda Sayuni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 USINIPITE MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 131 Ilitoka Nuru Kuu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 82 NI SIKU YA FURAHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 16 Tunakusifu, Ewe Mungu Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 15 Namwandama Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 NAAMINI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 197 Mungu Aliahidi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 147 Na Myaka Michache. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 155 NJIANI HUNIONGOZA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 72 Sioni Haya kwa Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 206 Una Nafasi Kwa Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 26 Anipenda ni Kweli. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 Enyi Askari wa Kristo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 74 Msalabani pa Mwokozi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 205 Rafiki Zangu Wanatafuta Maneno ya wimbo
  • Wimbo 165 Twasikia Mwito Kutoka Mbali Maneno ya wimbo
  • Wimbo 31 Peleleza Ndani Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 97 Umesoma Hadithi ya Yesu? Maneno ya wimbo
  • Wimbo 115 Sioshwi Dhambi Zangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 123 Sauti Sikilizeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 4 Jina LakeYesu Tamu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 Nafurahi Moyoni Mwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 112 WEWE UMECHOKA SANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 159 Hata Aje ni Furaha Kukumbuka Neno Hili. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 214 NIWE NAO UZURI WA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 34 HADITHIA KISA CHA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 12 Yesu kwa lmani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 132 Kuna Mtu Angojaye Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version