Nyimbo Za Sifa
Wimbo 2 Niwonapo Mti Bora. Maneno ya wimbo
Niwonapo Mti bora
Kristo aliponi?a
Kwangu pato ni hasara
Kiburi nakichukia
Na nisijivune, Bwana
Ha kwa mauti yako
Upuzi sitaki tena
Ni chini ya damu yako
Tangu kichwa hata nyayo
Zamwegwa pendo na hamu
Ndako pweke hamu hiyo
Pendo zake zimetimu
Vitu vyote vya dunia
Si sadaka ya kutoshsa
Pendo zake zaniwia
Nafsi, mali, na maisha