Nyimbo Za Sifa
Wimbo 133 Walioambiwa Kwanza. Maneno ya wimbo
Walioambiwa kwanza
Ni walisha-kondoo na malaika
Wakililinda kundi lao
Nao usiku uzizimao
“Neema, neema, heri, heri!
Amezaliwa Imamweli
Pill, kuna nyota ile
lliyowajulisha wajuvi wale
Alipozaliwa Mfalme
Wakaonywa waiandame
Hata mwisho wa safari
He ndiyo, nyota yatanawiri
Toka kwao, maawioni
Daima hung’ara mbinguni
Na wote wakaingia
Na kwa heshima wakamsujudia
Wakampa manemane, tunu
Tena ubani na dhahabu
Pia sote, watu wa chini
Na tumsifu Bwana wa Mbinguni
Muumba-mbingu na dunia ‘
Kwa damu yake ametununua