Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
Wimbo 208 NANI AFANYA MAUA nyimbo za wokovu
1
Nani ayafanya maua,
maua
Nani ayafanya –
Mungu juu.
2
Nani apambaye machweo,
machweo,
Nani ayapamba –
ni Mungu.
3
Nani afanya theluji,
theluji,
Nani aifanya –
ni Mungu.