Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo

Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 7 Taji Mvikeni. Maneno ya wimbo

 

Taji Mvikeni
Taji nyingi tena,
Kondoo mwake Kitini
Bwana wa mabwana;

Nami tamsifu
Alikufa kwangu,
Ni Mfalme mtukufu,
Mkuu wa Mbingu.

Taji mvukeni
Mwana wa bikira;
Anazovaa kichwani
Aliteka nyara;
Shiloh wa manabii,
Mchunga wa watu,
Shina na tanzu vya Yesu
Wa Bethilehemu.

Taji mvikeni
Bwana wa mapenzi;
jeraha zake ni shani
Ni vito vya enzi,
Mbinguni hakuna
Hata malaika
Awezaye kuziona
Pasipo kushangaa

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 69 Yesu Zamani Bethilehemu. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 70 Mteteeni Yesu. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 52 NIPE BIBLIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 140 Uliposhuka kwa Kunitaka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 197 Mungu Aliahidi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 Bwana Jesu,Twaungama. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 Mwokozi Moyoni Mwangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 88 Walikaa Orofani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 57 USIKATAE KAZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 206 MSIFU MUNGU EE WATOTO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 170 JINA LANGU LIMEANDIKWA JE? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 137 SAA HERI YA SALA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 73 Twendeni! Haraka!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 Twae Wangu Uzima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 24 JINA LAKE YESU TAMU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 136 Usinipite Maneno ya wimbo
  • Wimbo 112 WEWE UMECHOKA SANA? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 58 ZITAKUWA NYOTA TAJINI? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 61 Ndugu wa Kirohoni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 65 Nadumu Kwa Ahadi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 42 Niwonapo Mti Bora Maneno ya wimbo
  • Wimbo 94 Maelfu na Maelfu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 52 Yesu Nataka Kutakaswa Sana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 160 Sauti Ya Mchunga Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 21 BABA TWAKUJIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 145 NAMTAKA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 84 Nimejazwa Na Furaha Maneno ya wimbo
  • Wimbo 151 Leo Yesu Kristo Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 96 MALI YAKO SASA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 161 PIGA PANDA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 91 Mkuu Akamjia Yesu Usiku Maneno ya wimbo
  • Wimbo 5 Kwa Yote Aliyotenda Maneno ya wimbo
  • Wimbo 215 NATAKA NIWE TAYARI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 40 NIJAZE SASA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 111 Damu Imebubujika Maneno ya wimbo
  • Wimbo 123 Dhambi Ikikulemea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 204 Bwana Yangu Yu Mchungaji Maneno ya wimbo
  • Wimbo 49 Nitaonana Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 107 Niimbie Mara Mara Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 Ni Mali Ya Mfalme Maneno ya wimbo
  • Wimbo 195 MSINGI WA KANISA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 158 Mle Kaburini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 195 Mnona Humkubali Mwokozi Sasa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 83 EWE SKULI YA SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 61 Twendeni Askari Maneno ya wimbo
  • Wimbo 167 Sasa Baba, tena twakumbuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 72 Sioni Haya kwa Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 168 Twataka Mwona Bwana Jesus. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 178 Baba Yangu Ana Mali Nyingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 120 MSALABA WA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 19 Kaa Nami Maneno ya wimbo
  • Wimbo 140 Siku Hizi Ni Za Mwisho Maneno ya wimbo
  • Wimbo 12 Yesu kwa lmani. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 42 EWE ROHO WA MBIGUNI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 73 BWANA, UNIONGOZE JUU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 134 TAFUTA DAIMA UTAKATIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 179 WATAFURAHI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 144 NI WAKO BWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 55 Naendea Msalaba. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 139 Yesu Akuitapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 101 Nilitembea Mbali Maneno ya wimbo
  • Wimbo 189 TUBATIZE UPYA nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version