Nyimbo Za Sifa
Wimbo 153 Siku ya Leo, Bwana. Maneno ya wimbo
Siku ya leo, Bwana Aleluya
Ha kaburini tena Aleluya
Mtini akateswa Aleluya
Tupate kombolewa Aleluya
Nyimbo za sifa twimbe Aleluya
Za kusifu Mfalme Aleluya
Akaona uchungu Aleluya
Kututia kwa Mungu Aleluya
Kwa yake maumivu Aleluya
Tumepata wokofu Aleluya
Atawala mbinguni Aleluya
Atawazwe myoyoni Aleluya