Nyimbo Za Sifa
Wimbo 90 Hivi Vita Vimekoma. Maneno ya wimbo
Aleluya!AIeIuya!
Aleluya!
Hivi vita vimekoma
Vimeshindwa na uzima
Na asi?we daima
Bwana Yesu
Nguvu za kifo ni hizo
Ila hazina uwezo
Ndizo sasa avunjazo
BwanaYesu
Siku tatu za huzuni
Kisha atoka ufuni
Asifiwe duniani
BwanaYesu
Mapingu ameyavunja
Mbingu amezifungua
Nasi sasa twamwimbia
BwanaYesu
Na ulivyopigwa Wewe
Ni kwamba tufunguliwe
Milele na usi?we
BwanaYesu