Nyimbo Za Sifa
Wimbo 70 Mteteeni Yesu. Maneno ya wimbo
MteteeniYesu
Miio askari
Inueni beramu
Mukae tayari
Kwenda naye vitani
Sisi hatuchoki
Hata washindwe pia
Yeye amiliki
MteteeniYesu
Vita ni vikali
Leo siku ya Bwana
Atashinda kweli
Waume twende naye
Adui ni wengi
Lakini kwake Bwana
Tuna nguvu nyingi
Mteteeni Yesu
Wenye ushujaa
Nguvu zenu za mwili
Hazi atufaa
Silaha ya lnjili
Vaeni daima
Kesheni mkiomba
Sirudini nyuma
MteteeniYesu
Vita ni vikali
Wengi wamdharau
Hawamkubali
Ila atamiliki
Tusitie shaka
Kuwa naye vitani
Twashinda hakika