Nyimbo Za Sifa
Wimbo 35 Waitwa, Mwovu, na Bwana. Maneno ya wimbo
Waitwa, mwovu, na Bwana
Umwendee hima sasa
Usa?we dhambi zako
Humwoni ni Mwema wako?
Chorus
Unaitwa! Itika tu!
Umwendee Bwano Yesu!
Sifiche mokoso yako
Uungame dhambi zako!
Kristo tu umuominia
Ndiyo njia ya Mbinguni
Alilipa damu yake
Hi kukuweza kwake
Alikufa yeye Bwana
Mimi nawe tuwe wema
Ukifanywa kuwa mwema
Mwishoni utasimama
Utaingia rahani
Na wapenzi wa zamani
Ni mwanga tu, nchi ile
Uovu hauko kule
Kwamba wataka u?ke
Sharti huku uosheke