Nyimbo Za Sifa
Wimbo 30 Yesu Awakubali Wakosa. Maneno ya wimbo
Yesu awakubali
Wakosa, wahalifu
Wambieni wa mbali
Habari ya wokovu
Chorus
Tangazeni kwa bidii
“Akubali wakosa
Liwe neno dhahiri
”AkubaIi wakosa
Awakubali Bwana
Neno lake amini
Watu kila aina
waje kwake tengoni
Mimi ni sa? moyo
Na mbele ya sharia
Aliyesafi roho
Kwake ilitimia
Akubali wakosa
Nami anikubali
Alivyonitakasa
Mbinguni niwasili