Nyimbo Za Sifa
Wimbo 155 Yu Hai jesu! Sasa. Maneno ya wimbo
Yu hai jesu! sasa
Kifo hakitishi tena
Yu hai jesu! sasa
Kaburi nguvu halina
Aleluya
Yu hai jesu! sasa
Kifo ni lango Ia mbingu
Hapana hofu sasa
Twatumai kwake Mungu
Aleluya
Yu hai Jesu! ndiye
Aliyetu?a sote
TwamtukuzaYeye
Mwokozi, kwa myoyo yote
Aleluya
Yu hai jesu! tena
Tumo mapenzini mwake
Liwezalo hapana
Kututenga sisi kwake
Aleluya
Yu hai jesu! kisha
Atatuchukua kwake
Atawafurahisha
Walioamini kwake
Aleluya