Nyimbo Za Sifa
Wimbo 108 Bwana U Sehemu Yangu. Maneno ya wimbo
Bwana, U sehemu yangu
Rafiki yangu,Wewe
Katika safari yangu
Tatembea na Wewe
Pamoja no Wewe
Pamoja na Wewe
Katika safari yangu
Tatembea na Wewe
Mali hapa sikutaka
ili niheshimiwe
Na yanikute mashaka
Sawasawa na Wewe
Pamoja na Wewe
Pamoja na Wewe
Heri nikute mashaka
Sawasowa na Wewe
Niongoze safarini
Mbele unichukue
Mlangoni kwa Mbunguni
Niingie na Wewe
Pamojo na Wewe
Pamoja na Wewe
Mlangoni kwa Mbunguni
Niingie na Wewe