Nyimbo Za Sifa
Wimbo 1 Twamsifu Mungu. Maneno ya wimbo
Twamsifu Mungu kwa Mwana
wa pendo,
Aliyetu?a na kupaa juu
Chorus
Aleluya! Usi?we, Aleluyu! Amin
Aleluya! Usi?we, utubariki
Twamsifu Mungu kwa Roho
Mtufuku
Amefunulia Mwokozi wetu
Twamsifu Mwana, aliyetufia
Aliyetwaa dhambi akazifuta
Twamsifu Mungu wa neema yote
Ametukomboa akatuongoza
Tuamshe tena, tujaze na pendo
NA moyoni uwashe moto wa
Roho