Site icon Treasure Hymns- Swahili

Wimbo 111 TABIBU MKUU nyimbo za wokovu

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 111 TABIBU MKUU nyimbo za wokovu

 

1
Tabibu mku-u huyu,
Yesu mwenye huruma;
Atuletaye faraja:
Yesu, Mwokozi wetu.

Imbeni, Malaika
Sifa Za Bwana wetu;
Jina la pekee kwetu,
ni la Yesu Bwana.

2
Mwana Kondo-o
Msifuni Mwokozi
Hatia zote na dhambi
Huziondoa Yesu.

3
Hakuna jina jingine
Linalofa-a sifa;
A-u kutufurahisha.
Isipokuwa lake.

4
Naye atakapokuja
Na utukufu wake.
Tutafurahi milele
Kuka-a kwake Bwana.

Exit mobile version