Nyimbo Za Sifa
Wimbo 2 Twende Kwake. Maneno ya wimbo
Twende kwake, twende kwake,
kwake Yesu sasa
Sasa twende kwake, kwako Yesu
sasa
Akwokoe, akwokoe, BwanaYesu
sasa!
Sasa akwokoe, BwanaYesu sasa!
Msadiki msadiki, Bwana Yesu
sasa
Sasa msadiki, Bwana Yesu sasa!
Anaweza, anaweza, Bwana Yesu
sasa!
Sasa anaweza, Bwana Yesu sasa!
Anapenda, anapenda, Bwana
Yesu sasa!
Sasa anapenda, Bwana Yesu
sasa!
Njoo hima, njoo hima, kwake
Yesu sasa
Sasa njoo hima, kwake Yesu
sasa!