Nyimbo Za Sifa
Wimbo 31. 31. Dhambi lkikulemea Maneno ya wimbo
Dhambi ikikulemea
Kwa Bwana rehema
Hivi sasa tegemea
Chorus
Tegemea, tegemea akwita
sasa
Ni Mwokozi, ni Mwokozi,
aminisasa
Yesu amemwaga damu
Ya nyingi baraka
Nawe sasa oga mumu
Zioshwamo taka
Ni njia Yeye hakika
Huwongoza rahani
Usikawe kumshika
Uwe barakani
Karibu nawe wingie
Kwetu safarini
Twende tukamwamkie
Milele mbinguni