Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 149 Aleluya Tufurahi, Myoyo yetu lkuzwe. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 149 Aleluya Tufurahi, Myoyo yetu lkuzwe. Maneno ya wimbo

Wimbo 149 Aleluya Tufurahi, Myoyo yetu lkuzwe. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 149 Aleluya Tufurahi, Myoyo yetu lkuzwe. Maneno ya wimbo

 

Aleluya, tufurahi, myoyo yetu ikuzwe
Tumwimbie Mungu nyimbo, sana na atukuzwe
Aliyekufa mtini, kwa ajili ya watu
Amefufuka ufuni, Yesu Mwokozi wetu

Ya kaburi na mauti amevunja mikufu
Yesu ndiye malimbuo, ya mavuno ya wafu
Yesu ameshinda kwanza, sisi twashinda kwake
Nasi twapata uzima kwa kufufuka kwake

Mwokozi amefufuka, nao wengi baadaye
Atakapokuja tena watatokea naye
Mavuno yatakuwako, wengi wataokoka
Jua la mapenzi yake, laivisha nafaka

Mwokozi amefufuka, nasi tumefufuka
Tufuate mwendo mpya, dhambi kuziepuka
Kisha zaidi tuzae matunda yafaayo
Matunda yenye kudumu, yamfurahishayo

Aleluya, enzi ndako, Baba yetu mbinguni!
Aleluya, nda Mwokozi, ameshinda vitani!
Aleluya, ndake Roho, ametufunulia!
Aleluya, nda Jehova, wokofu twapokea

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 148 Siku Zetu Hwenda Mbio. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 15 Namwandama Bwana. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 132 BWANA NI MCHUNGA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 28 JINA LA THAMANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 192 Mwokozi Niongozwe Maneno ya wimbo
  • Wimbo 172 Sijui Sababu Ya Neema Maneno ya wimbo
  • Wimbo 1 Twamsifu Mungu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 85 Na Pentekoste Ya Kale Maneno ya wimbo
  • Wimbo 67 Yesu Atuchunga. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 45 Ni Wako Wewe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 206 Una Nafasi Kwa Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 55 TWAPANDA MAPEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 108 TUMESIKIA MBIU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 40 Uzima Na Pendo Langu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 123 Sauti Sikilizeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 HAPANA GIZA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 61 Ndugu wa Kirohoni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 121 KATIKA WENYE DHAMBI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 171 HUKUMU IMEANZISHWA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 163 ANAKUJA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 98 Namjia Yesu Nipumzike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 176 Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 137 Aligusa Upindo Wa Nguo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 186 HATUTAAGANA TENA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 181 Fedha Wala Dharau Maneno ya wimbo
  • Wimbo 213 MTAZAME MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 129 KUMTEGEMEA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 11 Ewe Roho wa Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 188 WIMBI LITAKASALO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 146 Yesu Atwambia Maneno ya wimbo
  • Wimbo 204 Bwana Yangu Yu Mchungaji Maneno ya wimbo
  • Wimbo 155 Yu Hai jesu! Sasa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 171 Sijui Ilipotoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 155 NJIANI HUNIONGOZA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 27 Baba Yetu aliye Mbinguni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 131 Ukipenda Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 3 Jina la Yesu, Salamu!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 Kilima Kando ya Mji. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 158 Mle Kaburini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 29 YESU UNIPENDAYE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 147 Anipenda Kweli Maneno ya wimbo
  • Wimbo 154 Njooni Na Furaha Maneno ya wimbo
  • Wimbo 85 SALAMA TUMEPITA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 93 Ndiyo Damu Ya Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 159 Kichwa Kilivikwa Miiba Maneno ya wimbo
  • Wimbo 96 Kazi Yangu lkiisha. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 40 Kivulini Mwa Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 20 MUNGU WETU YEYE MWAMBA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 57 Nimeifikia Nchi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 178 Baba Yangu Ana Mali Nyingi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 93 Huyo Ndiye! Anashuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 60 Bwana wa Mabwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 36 Twende kwa Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 77 Namwandama Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 NAPENDA KUHUBIRI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 83 EWE SKULI YA SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 153 FIKIRA MOJA TU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 145 Mikononi Mwako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 88 Walikaa Orofani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 197 ANIPENDA NI KWELI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 157 Bwana Amefufuka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 46 MIGUUNI PAKE YESU nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version