Skip to content

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 141 Waimba, Sikizeni. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 141 Waimba, Sikizeni. Maneno ya wimbo

Wimbo 141 Waimba, Sikizeni. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 141 Waimba, Sikizeni. Maneno ya wimbo

 

Waimba, sikizeni,
Malaika Mbinguni;
wimbo wa tamu sana
Wa pendo zake Bwana;
“Duniani salama,
Kwa wakosa rehema.”
Sisi sote na twimbe
Nao wale wajumbe;
Waimba, sikizeni,
Malaika Mbinguni.

Ndiye Bwana wa Mbingu,
Tangu milele Mungu.
Amezaliwa mwili,
Mwana wa mwanamwali;
Ametoka enzini
Kuja ulimwenguni
Mwokozi atufie,
Ili tusipotee.
Waimba, sikizeni,
Malaika Mbinguni.

Mtukufu wa amani
Ametoka Mbinguni,
Jua Ia haki, ndiye
Atumulikiaye;
Amejivua enzi,
Alivyo na mapenzi,
Ataka kutuponya,
Kutuzalisha upya,
Waimba sikizeni,
Malaika Mbinguni.

Njoo upesi, Bwana,
Twakutamani sana;
Kaa nasi, Mwokozi
Vita hatuviwezi;
Vunja kichwa cha nyoka,
Sura zako andika,
Tufanane na Wewe,
Kwetu sifa upewe,
Waimba, sikizeni,
Malaika Mbinguni.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 140 When you came down to want me. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 142 Wachunga Walipolinda. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 42 Kukawa na Giza Dunia Yote. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 32 Useme Nami Bwana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 125 Juu Yake Langu Shaka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 55 TWAPANDA MAPEMA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 13 Cha kutumaini Sina. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 219 YESU MWOKOZI MPENDWA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 10 Yesu, Nikikumbuka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 35 Yesu Kwetu Ni Rafiki Maneno ya wimbo
  • Wimbo 158 Baba U Mwenye Mapenzi Makuu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 120 MSALABA WA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 139 Yesu Akuitapo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 Nimekombolewa Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 201 Kwa Mji Wa Mwangaza Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Hata Ndimi Elfu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 212 MOYONI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 38 Nasikia Kuitwa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 HUNA KITU KWA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 141 Waimba, Sikizeni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 12 MSIFU MUNGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 187 Yuko Mwokozi Wa Ajabu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 119 Muda Mwingi Nilipotea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 23 Nimekombolewa na Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 165 AHADI TAMU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 146 Mungu wa Betheli. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 81 Si Damu ya Nyama. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 61 BWANA NAMI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 196 VITO VYA THAMANI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 25 Yesu Uniongoze Maneno ya wimbo
  • Wimbo 133 Nimetembelea Mbali Maneno ya wimbo
  • Wimbo 172 MFALME AJAPO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 151 HUNIONGOZA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 190 RAHA YANGU YOTE, BWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 84 Aliteswa, Aliteswa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 57 Peleleza Ndani Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 59 Tumesikia Mbiu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 167 Sasa Baba, tena twakumbuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 53 Nipe Moyo Wenye Sifa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 42 EWE ROHO WA MBIGUNI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 54 Nilitembea Gizani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 124 Ni Wako Mungu!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 Mteteeni Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 199 UPENDO NI FURAHA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 79 Ni “Mtu wa Simanzi!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 116 Ati Twonane Mtoni?. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 127 Msifuni, Yesu Ndiye Mkombozi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 68 Twendeni Askari. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 101 YESU AKWITA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 113 Hapana Rafiki Kama Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 Enyi Askari wa Kristo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 187 KUFARIKI NAYE YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 16 BWANA NINAKUHITAJI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 147 Na Myaka Michache. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 121 Niongoze, Bwana Mungu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 51 Wewe Umechoka Sana?. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 7 Jina Lake Yesu Tamu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 Yesu Nakupenda, U Mali Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 171 Sijui Ilipotoka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 35 Waitwa, Mwovu, na Bwana. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 57 USIKATAE KAZI nyimbo za wokovu

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version