Skip to content

Mon - Sat: 8.00 - 18.00

04463235323

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 126 Mapenzi ya Milele. Maneno ya wimbo

  1. Home   »  
  2. Wimbo 126 Mapenzi ya Milele. Maneno ya wimbo

Wimbo 126 Mapenzi ya Milele. Maneno ya wimbo

Disemba 12, 2025 treasurehymnsnyimbo za sifa

Nyimbo Za Sifa

Wimbo 126 Mapenzi ya Milele. Maneno ya wimbo

 

Mapenzi ya milele
Ndiyo yanipendayo;
Yalinipenda mbele,
Sina fahamu nayo;
Sasa amani yake
Tele rohoni mwangu,
Ni mimi kuwa wake,
Na Yeye kuwa wangu,
Ni mimi kuwa wake,
Na yeye kuwa wangu.

Mbingu zinang’ara juu,
Na nchi nayo vivyo,
Macho ya dunia tu
Hayajaona hivyo.
Nyuni huimba sana.
Maua yana rangi,
Ni kumjua Bwana
Na pendo zake nyingi,
Ni kumjua Bwana
Na pendo zake nyingi.

Mambo mengi maovu
Nayo yenye kutisha,
Sasa hayana nguvu,
Si yenye kugutusha,
Ni mkononi mwake,
Nalindwa salamani,
Ninajua ni wake,
Ni wake mapenzini,
Ninajua ni wake,
Ni wake mapenzini.

Wake hata milele,
Si kutengana tena;
Hunipa raha tele
Moyoni mwangu, Bwana,
Hiyo nchi na mbingu
Zitatoweka zile.
Ni wake, Yesu wangu,
Milele na milele,
Ni wake, Yeye wangu,
Milele na milele.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 116 Ati Twonane Mtoni?. Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 135 Ni Usiku wa Manane,Wachunga Wakesha. Maneno ya wimbo

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 156 Wachunga Walipolinda Maneno ya wimbo
  • Wimbo 128 Yesu Mponya. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 185 Ati Twonane Mtoni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo
  • Wimbo 15 Kutakuwa Na Baraka Maneno ya wimbo
  • Wimbo 112 Enyi Wanadamu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 143 Wakati Wa Baraka Karibu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 185 MUNGU, MAPENZI MAKAMILIFU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 53 Nipe Moyo Wenye Sifa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 149 Aleluya Tufurahi, Myoyo yetu lkuzwe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 209 MUNGU AFANYA UPINDI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 81 Si Damu ya Nyama. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 211 ROHO WA MUNGU WANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 95 Twonane Milele. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 206 MSIFU MUNGU EE WATOTO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 130 YESU KWETU NI RAFIKI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 98 Namjia Yesu Nipumzike Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Liko Lango Moja Wazi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 113 Hapana Rafiki Kama Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 5 NA TUMWABUDU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 205 Rafiki Zangu Wanatafuta Maneno ya wimbo
  • Wimbo 2 Hata Ndimi Elfu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 85 SALAMA TUMEPITA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 49 NINAYE RAFIKI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 180 Ametwaliwa Rafiki Yetu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 97 Kaa Nami. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 28 Mungu Msaada Wetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 54 Ni Siku Kuu Siku Ile. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 156 Aleluya! Aleluya! Aleluya!. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 162 TUMAINI LIKO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 119 Muda Mwingi Nilipotea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 29 Kwa Mfano Wako Maneno ya wimbo
  • Wimbo 47 Akifa Yesu Nikafa Naye Maneno ya wimbo
  • Wimbo 129 KUMTEGEMEA MWOKOZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 23 Yesu Unihifadhi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 93 JUA LA ROHONI MWANGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 26 Anipenda ni Kweli. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 32 Njoni! Wenye Dhambi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 172 Baba tunakwomba sasa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 150 HASHA, MANENO MABAYA YASITOKE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 88 Walikaa Orofani Maneno ya wimbo
  • Wimbo 136 NIWE KAMA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 11 JINA LA BWANA LI HERI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 96 MALI YAKO SASA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 61 Ndugu wa Kirohoni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 165 Twasikia Mwito Kutoka Mbali Maneno ya wimbo
  • Wimbo 43 Mtazame Huyo! Aliyeangikwa juu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 82 Mungu Alituma Kwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 170 JINA LANGU LIMEANDIKWA JE? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 106 HUNA KITU KWA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 84 Aliteswa, Aliteswa. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 Nafurahi Moyoni Mwangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 4 Msalabani Pa Mwokozi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 63 NIUONAPO MSALABA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 126 Twende Kwa Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 128 TAAMINI NITII PIA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 150 Bwana Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 64 Mteteeni Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 12 MSIFU MUNGU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 109 Peleka Jina La Yesu Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version