Skip to content

Mon - Sat: 8.00 - 18.00

04463235323

info@example.com

Treasure Hymns- Swahili

  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service
  • About
  • Contact
  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Sifa Hymns Orodha
  • Nyimbo Za Wokovu Orodha
  • Nyumbani
  • Privacy Policy
  • Sample Page
  • Terms and Conditions
  • Terms of Service

Wimbo 49 NINAYE RAFIKI nyimbo za wokovu

  1. Home   »  
  2. Wimbo 49 NINAYE RAFIKI nyimbo za wokovu

Wimbo 49 NINAYE RAFIKI nyimbo za wokovu

Disemba 12, 2025Disemba 12, 2025 treasurehymnsNyimbo Za Kristo - Swahili SDA Hymns

Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns

Wimbo 49 NINAYE RAFIKI nyimbo za wokovu

 

1
Ninaye Rafiki naye
Alinipenda mbele;
Kwa kamba za pendo lake
Nimefungwa milele;
Aukaza moyo wangu,
Uache ugeuzi,
Ninakaa ndani yake,
Yeye kwangu, milele.

2
Ninaye Rafiki ndiye
Aliyenifilia;
Alimwaga damu yake
Kwa watu wote pia;
Sina kitu mimi tena,
Nikiwa navyo tele;
Pia vyote ni amana
Ndimi wake milele.

3
Ninaye Rafiki naye
Uwezo amepewa,
Atanilinda mwenyewe,
Juu ‘tanyakuliwa;
Nikitazama mbinguni
Hupata nguvu tele;
Sasa natumika chini,
Kisha juu milele.

4
Ninaye Rafiki naye
Yuna na moyo mwema,
Ni Mwalimu, Kiongozi,
Mlinzi wa daima;
Ni nani wa kunitenga
Na mpenzi wa mbele?
Kwake nimetia nanga,
Ndimi wake milele.

Urambazaji wa chapisho

Previous: Wimbo 60 Nina Raha Kwa Mwamba Wa Imara Maneno ya wimbo
Next: Wimbo 61 BWANA NAMI nyimbo za wokovu

Toa Jibu Ghairi kujibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Hymns You May Like

  • Wimbo 213 Nipe Pendo Sana Maneno ya wimbo
  • Wimbo 165 Njoni Karamuni. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 202 Alishuka Kutoka Mbinguni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 142 NASIKIA SAUTI YAKO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 152 Waimba Sikizeni Maneno ya wimbo
  • Wimbo 212 Yesu Aliteswa Vibaya Maneno ya wimbo
  • Wimbo 182 HAPANA GIZA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 127 Msifuni, Yesu Ndiye Mkombozi. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 HUNA KITU KWA YESU? nyimbo za wokovu
  • Wimbo 211 Katika Gethsemane Yesu Aliteswa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 165 Twasikia Mwito Kutoka Mbali Maneno ya wimbo
  • Wimbo 209 MUNGU AFANYA UPINDI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 168 Twataka Mwona Bwana Jesus. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 70 WAPENZI WA BWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 127 Pendo Lako Limesulubiwa Maneno ya wimbo
  • Wimbo 50 Yote Namtolea.Yesu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 22 Mwokozi Moyoni Mwangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 44 Rehema ya Baba Yetu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 114 Nimeketi Mimi Nili Kipofu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 57 USIKATAE KAZI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 101 YESU AKWITA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 145 Mikononi Mwako. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 47 NI HERI KIFUNGO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 143 NAAMINI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 88 SIKU HII YA SABATO nyimbo za wokovu
  • Wimbo 36 SIKU KUU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 112 Yesu Ni Jina Nipendalo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 168 TARUMBETA YA MWANA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 174 TUKIMNGOJEA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 189 TUBATIZE UPYA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 51 Nakusifu Bwana Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 24 Yesu Unipendaye Maneno ya wimbo
  • Wimbo 129 Tukutendereza Yesu- (Luganda. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 73 Ushirika Mkuu, Furaha Yangu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 145 NAMTAKA BWANA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 131 Ukipenda Kutoka Dhambini Maneno ya wimbo
  • Wimbo 156 Wachunga Walipolinda Maneno ya wimbo
  • Wimbo 74 Tangu Siku Hiyo Maneno ya wimbo
  • Wimbo 48 Yesu Nakupenda, U Mali Yangu. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 172 Sijui Sababu Ya Neema Maneno ya wimbo
  • Wimbo 210 NAPENDA SANA KUFIKA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 185 Ewe Mchunga Mpole. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 118 NILIPOTOKA KABISA nyimbo za wokovu
  • Wimbo 123 Dhambi Ikikulemea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 8 Yesu Kwetu ni Rafiki. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 217 MOYONI ‘NIJAZE nyimbo za wokovu
  • Wimbo 149 Aleluya Tufurahi, Myoyo yetu lkuzwe. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 72 Tutume, Tutume Maneno ya wimbo
  • Wimbo 133 PO POTE NA YESU nyimbo za wokovu
  • Wimbo 118 Bwana Yesu Atakuja. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 78 Aniongozapo Pote Maneno ya wimbo
  • Wimbo 197 Mungu Aliahidi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 56 Mbele Ninaendelea Maneno ya wimbo
  • Wimbo 106 Nimekombolewa Na Yesu Maneno ya wimbo
  • Wimbo 151 Leo Yesu Kristo Amefufuka. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 100 Mungu Awe Nanyi Daima. Maneno ya wimbo
  • Wimbo 17 Nilipoona Chemchemi Maneno ya wimbo
  • Wimbo 91 KAA NAMI nyimbo za wokovu
  • Wimbo 181 Fedha Wala Dharau Maneno ya wimbo
  • Wimbo 134 Yesu Akwita Chanena Chuo Maneno ya wimbo

Archives

  • Disemba 2025

Categories

  • Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
  • nyimbo za sifa
  • nyimbo za wokovu
  • Uncategorized
Proudly powered by WordPress | Theme: goldy-mex by inverstheme.
Go to mobile version