Nyimbo Za Kristo – Swahili SDA Hymns
Wimbo 203 ZOTE KWA YESU nyimbo za wokovu
Kuanguka kuanguka pesa koponi,
Kila moja kwako, Yesu zipokee.
2
Huanguka pesa toka mikono:
Sadaka kwa Yesu ya kundi dogo.
3
Tulio wadogo tuna haba tu;
Tuishapo kua pendo ‘tazidi.
4
Wenye mali chache tumpe moyo;
Kwa furaha tupu atakubali.